Ccm hawana hoja zaidi ya vitisho, uongo, na kurudiarudia alisema m/ kiti wao, ona alichosema cap Komba, Makonda, Mwigulu, bila kuwasahau wale akina mama wa mipasho kama unaelewa na kama ilibahatika kwenda school utaelewa namaanisha nini, wanachoangalia ni matumbo yao kwa siku zijazo.