Recent content by mtungu

  1. mtungu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar hakuna Jiji?

    Kwanini Zanzibar hakuna jiji? Mfano, Jiji la Pemba au Unguja au hawakidhi vigezo?
  2. mtungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    kwaiyo hayawezi fanya kazi sababu mapya yamefika
  3. mtungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    mbwembwe vip wakati yalifika na yapo sijui yapo mangapi
  4. mtungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    ivi mabehewa ya ghorofa mbona ayajaanza kazi mpaka leo wakati ndo ya kwanza kufika shida ni nini
  5. mtungu

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

    ni jina marufu sana hasa likiusishwa na mambo ya vijana yani kule kwa mpalange nahisi ata kampini imeona hili jina linawatia zambi sana si bure ni ngumu kubadili kitu kilichozoeleka
  6. mtungu

    JamiiForums Tanzania Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex

    wanataka kuuchosha tu uo uwanja ufabae mapema nazani sasa tff watunge kanuni uwanja mmoja utumike kwa mechi ngapi kule chamanzi ilikua sahihi kabisa timu mbili kule na kmc timu mbili sasa wanahama wakati uwanja wenyewe hata taa hauna siku latiba ikiwaitaji wote wacheze apo itakuwaje
  7. mtungu

    JamiiForums Tanzania Gamondi asitimuliwe

    kwani tayari
  8. mtungu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amjibu Mtanzania aliyefanya Makala ya kuonesha ubora wa SGR na Vituo vyake

    ivi kwa kipindi ichi walichobeba abiliria pesa waliopata inaweza jenga kilometa ngapi
  9. mtungu

    JamiiForums Tanzania KERO Mwendokasi ni Changamoto zaidi ya inavyozungumzwa

    changamoto nyengine niliyoiyona ni jinsi ya kuingia pale stend huchukua hadi nusu saa tu kuingia sababu ya daladala bora wangekua wanapita kwa nyuma kule alafu wanarudi livasi waingie kituo chao
  10. mtungu

    JamiiForums Tanzania SGR hodi hodi Dodoma, masaa matatu unusu umefika

    ivi kama unasafari ya dumila unashuka kituobgani uwai unapoenda au reli ipo mbali sa na eneo ilo
  11. mtungu

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla asema kukataza mabegi ya shangazi kaja kwenye treni ya SGR ni ubaguzi wa wazi

    nazani wanaweza weka behewa moja nyuma ya tren ya abililia kwa ajili ya mizigo midogomido na hao mbuzi kuku sema sasa kwa hilo dude linavyojali muda shida itaanzia apo mtu anashuka njiani kukuwake wapo nyuma huko mpka kuwatafuta na kuwatoa itachukua dakika ngapi na mkojo wa bebelu mbuzi...
  12. mtungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    haijakamilika
  13. mtungu

    JamiiForums Tanzania Mabegi ya 'shangazi kaja' marufuku kwenye kwenye treni ya SGR

    nazani wangeweka saizi ya shangazi kaja lisiwe kubwa kama lobota la nguo viwe vidogo vidogo sio kukataza kabisa
  14. mtungu

    JamiiForums Tanzania TRC kuongeza treni kati ya Dar na Moro ni vizuri, hofu ni tabia ya Watanzania kutokuwa makini kazini kunakoweza kuleta treni kugongana!

    nazani pugu itakua laisi kwako pia hakuna foleni sana na pia ndo kituo kinachopakia ata kama treni itakua haisimami vituo vya njiani ila pugu lazima ibebe sababu nayo ipo mjini na abilia wenge sana watakao shuka na kupanda ukizingatia watu wote wa gongolamboto kigogo chanika kinyelezi mbezi ata...
Back
Top Bottom