Natafuta nyimbo moja ya kibongo siijui jina lake lakn kuna video vixen mmoja anacheza balaa nyimbo ina mandhari ya nyimbo ya davido aye wapo mashambani hivi jamaa kama kafanana na matonya hivi, Anaejua jina la huu wimbo wadau nitashukuru!
Me sikuwahi kuambiwa maneno makali lakn nilikatishwa tamaa aswaa aliponiambia niende kwao nikatoe barua ya uchumba wakati me mwenyewe nategemea kwa mshua sikurudi tena see
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.