Recent content by Mtumishi wa Mungu.

  1. M

    Nipe jina FM Radio

    tz watu waajabu sana ndo maana nilihama. wabishi mpaka basi badala ya kufanya utafiti hahaha haya bana mpaka tcra wanakuja kwa inspection nadhani hata vifaa vitakuwa vimeoza au kuchakaa hahaha all de best
  2. M

    Nipe jina FM Radio

    tcra hawaamgalii majengo, kamati ya waziri haiangalii majengo fanyeni uchungizi kwa watu wengine. sisi tumenanza mwaka 2012 tukiwa na kila kitu na kibali tcra kilipita mapema ila mpaka navyokwambia hivi bado tunapigwa danadana tu. acha maneno ya kusikia
  3. M

    Nipe jina FM Radio

    redio inafunguliwa january 2015, halafu haina jina? heheheeh nadhani hamuwajui tcra. sisi tuna miaka 3 sasa tunasaka leseni. acheni kuleta utani humu
  4. M

    Katiba: Siri nzito kwa CHADEMA na UKAWA zawekwa wazi

    Akili zako ndogo au haujui kusoma. kwani nimesema tuombe ili wapinduliwe madarakani? Una akili urojo ww
  5. M

    Katiba: Siri nzito kwa CHADEMA na UKAWA zawekwa wazi

    Kinachokupa presha ninini? hahahaha kweli kuna watu wajinga duniani.
  6. M

    Katiba: Siri nzito kwa CHADEMA na UKAWA zawekwa wazi

    Samahani kama nimeeleweka vibaya, lengo si kuwaambia ukawa na cdm walete vita ila wajifunze hali iliyofikia kwa wenzao mataifa mengine.
  7. M

    Katiba: Siri nzito kwa CHADEMA na UKAWA zawekwa wazi

    Haitakuja kutokea ukombozi wa Tanzania kupatikana kwa namna UKAWA NA CHADEMA vinavyofanya kazi. Ukweli unaweza kuumiza lakini msahau kupata ukombozi kupitia hawa watu kwa sababu moja tu kuu HAWAJUI NAMNA YA KULETA UKOMBOZI. Kikwazo mbele. Ni dhahiri kuwa CCM wanajiamini kwa sababu kuu moja...
  8. M

    TB Joshua akamatwa!

    kwasababu nawewe hauna akili sawa sawa hahaha
  9. M

    TB Joshua akamatwa!

    hahahaha una macho au matoke? hahaha hukuona kuwa kanisa ndo linafurika mara dufu saivi hahaha, wageni ndo hadi booking ipite ni miezi hahahaa. eti imefikia ukomo au wewe macho yako yamefikia ukomo?
  10. M

    TB Joshua akamatwa!

    Tatizo unadhani na hii ni mijadala ya katiba hahaha! Ya ulimwengu wa roho huyawezi hahaha.
  11. M

    TB Joshua akamatwa!

    Hahahaha shetani anataabika mno kuona mshambuliaji namba 9 mgongoni TB Joshua anapefa kitaa tu! Jina la Yesu lihimidiwe!
Back
Top Bottom