Recent content by MTUMBUA MAJIPU

  1. M

    JamiiForums Tanzania OCD au OCS anapokataa kumtolea mtu mdhamana

    jaribu Ku connect tukio la hii post ulinganishe na unachojaribu kujenga.
  2. M

    JamiiForums Tanzania OCD au OCS anapokataa kumtolea mtu mdhamana

    Toka lini police akahusika ktk civil cases? labda nisaidie
  3. M

    JamiiForums Tanzania OCD au OCS anapokataa kumtolea mtu mdhamana

    usijibu vitu usivyoelewa,katafute CPA (Criminal procedure Act) usome utaelewa nn nasemea.
  4. M

    JamiiForums Tanzania OCD au OCS anapokataa kumtolea mtu mdhamana

    Tambua maana ya Geographical jurisdiction ndo ntaweza jua kwanini huyo OCD hajatoa dhamana. kifupi ni kwamba ukitenda kosa Tabora ukakamatiwa Mtwara lzma utarudishwa Tabora kujibu shtaka linalokukabili.
  5. M

    JamiiForums Tanzania OCD au OCS anapokataa kumtolea mtu mdhamana

    civil criminal ndo nn? Dhamana ni haki ya MTU tena ya kikatiba, makosa yenye kutopewa dhamana ni kosa la mauaji,uhaini,uhujumu uchumi,money laundering, wizi wa kutumia silaha (robbery), madawa ya kulevya,. makosa mengine yanadhamana.kutokumpa mtu dhamana ni kukiuka katiba na haki za binadamu.
Back
Top Bottom