Sidhan kama hapa tanzania umetembea kweli kusafsha macho kuna mbuga kubwa za wanyama ,mt.kmnjaro,mito ,mabwawa,viumbe na maliasili za kutosha bla kuwasahau na wamasai....hela yako ingewasaidia weng sana USA hamna jpya n majengo maref na barabara kubwa .....ila kama vp nenda tuu uwazidi viongoz...