Wanaume tuko tofauti...unaweza kuathirika na kitu ambacho mwengine hakimuathiru.
Ndivyo ilivyo kwa sigara,inaathari ya moja kwa moja kwa baadhi ya watu...Kama wewee unatatizo la hamu ya tendo la ndoa mpenzi wako hana shida sana wewe unatengeneza mazingirra ya kukwazana siku zote ili tu asidai...
Wanaume hatufanani kuanzia sura mwendo na hata tabia lakini sio hayo tu, kama binadamu wengine wote tukiugua
unaweza kuwa na Malaria 10 ukawa husukii hata dalili moja na mimi nikawa na 2 tu nikawa hoi.
Hoja yangu ya msingi ni Sigara na uwezo we wanaume kwenye tendo la ndoa.Sigara inapunguza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.