Lol! Mdogo wangu unachanganya mada! Mara mimba mara ujenzi! Mm nadhani ujenzi uendelee na mimba iendelee kuwepo, maana mimba cyo ugonjwa! Y haukuvumilia mpaka mfunge ndoa!?
Dah! Huyo mchumba wako yuko kama mm! Huyo atakuwa amekuchoka au amepata msichana mrembo aliyekuzidi vigezo! Hivyo mpe muda wa kutosha, punguza mawasiliano na kuonana naye mara kwa mara, kwa ufupi endelea na ratiba za maisha yako, then utaona matokeo!!
Kuna chembechembe za ukweli hasa ikiwa umejipendekeza kwa huyo mwanamke hilo lazima litakukuta tu maana hakuna namna! Lkn akikutana na kiburi kama mm lazima atie adabu tu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.