Recent content by Mtuflanihivi

  1. Mtuflanihivi

    Wanachama NSSF wakinukisha! Wafanyakazi watimua

    dawa ni kuwamiminia njugu tu
  2. Mtuflanihivi

    Zimebaki Week 5 Kufanyika JF Get Together Party 2018

    Tunaogopa watu wasiojulikana tutakuja tumevaa vinyago
  3. Mtuflanihivi

    Suala la kudhibiti mavazi kwenye hospitali

    kweli kabisa hawa jamaa wanasahau majukumu yao, wanakua kama wanatafuta kiki
  4. Mtuflanihivi

    Suala la kudhibiti mavazi kwenye hospitali

    inatokea sana kwenye mahospitali ya serikali
  5. Mtuflanihivi

    Suala la kudhibiti mavazi kwenye hospitali

    Ivi karibuni dada mmoja alienda katika hospitali moja ya manispaa ya TEMEKE, kwa ajili ya matibabu. Hasa ukizingatia yeye alizaliwa na condition ya sickle cell huitaji matibabu ya mara kwa mara ili aweze kusurvive , siku iyo alikua amevaa suruali ya jeanz na T SHIRT lakini cha kushangaza...
  6. Mtuflanihivi

    Kanuni mpya ya mafao kwa wastaafu kupata 25% inayobaki 75 kuunganishwa katika pension ya mwezi

    huu ni wizi wa wazi wazi nikae miaka 31 nasubiri milioni 2
  7. Mtuflanihivi

    Kanuni mpya ya mafao kwa wastaafu kupata 25% inayobaki 75 kuunganishwa katika pension ya mwezi

    Naomba kuuliza wana forum mimi ni mwanachama wa mfuko wa PPF, nimefanya kazi kwa kipindi cha miaka miwili katika kampuni binafsi ya mawasiliano,baada ya kuchoka kuajiriwa nikaamua kuacha kaz sasa nafanya biashara zangu mwenyewe na sina mpango wa kuajiriwa tena, Ina maana hela zangu zangu...
  8. Mtuflanihivi

    Kwanini punyeto kila siku haichoshi ila mwanamke anachosha?

    hacha uongo nyeto huwa watu hawaachi, ila wanakua na likizo fupi fupi tu
  9. Mtuflanihivi

    Jeshi la Polisi na TCRA walipaswa kumuhoji Zitto Kabwe. Anamaanisha nini kwa kusema "The United Republic of Gangsters". Kuna Jamhuri anaikejeli

    tatizo serikali haionekani ikiwa serious katika kutatua haya matukio. hadi leo waliomteka roma hawajulikani
Back
Top Bottom