Comments za Mjengwa hizi hapa
IRINGA MJINI IMEPOROMOKEA CHADEMA!
Taarifa hizi ni za kuthibitisha. Mch. Peter Msigwa ( CHADEMA) ameibuka mshindi akimwacha nyuma Mama Monica Mbega (CCM). CHADEMA pia imepata kiti komoja cha udiwani, hivyo basi itakuwa na...
Haya ni matumizi yasiyokuwa ya lazima ya FFU
Watanzania wanaoneka wana amani
kabisa
Askari hata hawaoni umasikini
unaowazunguka...
angalia hayo mabati
Uchafu hawauoni
Ila raia wema wenye kiu ya
Kumsikiliza Dr. Salaa
Nalaaani matumizi ya FFU
yasiyokuwa ya lazima
Hili system lao
halina Quality Control
Halitofautishi Namba
Wala Helufi
na Hawa wajinga wamefanya makusudi tu
kurahisisha uchakachuaji
Maana hata ukiweka MAHARAGE kama namba linaleta majibu tu
VoterID FULL NAME MAHARAGE
REGISTRATION CENTRE
REGION
DISTRICT
WARD
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.