Mtu66 Senior Member Jun 26, 2007 165 3 Oct 29, 2010 #1 Haya ni matumizi yasiyokuwa ya lazima ya FFU Watanzania wanaoneka wana amani kabisa Askari hata hawaoni umasikini unaowazunguka... angalia hayo mabati Uchafu hawauoni Ila raia wema wenye kiu ya Kumsikiliza Dr. Salaa Nalaaani matumizi ya FFU yasiyokuwa ya lazima
Haya ni matumizi yasiyokuwa ya lazima ya FFU Watanzania wanaoneka wana amani kabisa Askari hata hawaoni umasikini unaowazunguka... angalia hayo mabati Uchafu hawauoni Ila raia wema wenye kiu ya Kumsikiliza Dr. Salaa Nalaaani matumizi ya FFU yasiyokuwa ya lazima
Mtu66 Senior Member Jun 26, 2007 165 3 Oct 29, 2010 Thread starter #3 Iringa wakimzuia Dr. Slaa kuhutubia ...walikuwa wanatawanya raia wema tu