Umempa ushauri mzuri sana kama atataka kujiua sasa ajiue tu kwa ushauri huu uko clear mno ujue sometime unapambana na ntoto ivo mpk kutaka kujiua mwisho wa siku haji kukuthamini wala nn yy atulie afanye mishe zake nyengine ka akijisikia kujinyonga atakuwa na ishu nyengine ss
Ukobsawa kabisa haiwezekani mwanamke akufabye utake kujinyonga yaan huyu anafaa apelekwe kwa wataalam wa saikolojia huyu anaenda jinyonga kweli mana haimake sensekuna mtu alikuwa na watoto watatu na mke wa ndoa kwenda kuchake DNA wale watoto wote sio wake aligombana na mkewe akaropoka kwenda...
Bhas ukoo wenu una asili ya kujinyonga nilitaka kyshangaa ili suala mbona dogo sa a kuna watu wana matatizo chungu mzima na wanakomas kuyasolve ila ww kimosa kdg unataka kujinyonga kumbe kwenu mna asili ya kujinyonga bhas kuna siku utajinyinga kweli trust me
HAkikisha kodi ya pango haizidi 15% ya kipato chako kwa mwezi kama unapokea milion moja aubbiashara zako zinakuingizia milion moja kwa mwaka bhas hakikisha kodi haizidi laki moja na nusu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.