Recent content by mtu wa kasikazini

  1. M

    Kishindo IPTL: Yahofiwa Pinda atajiuzulu

    kweli hali hii inasikitisha sana hivi watu wanamchezea Mungu CCM hakuna anayemuenzi Mwl Nyerere ni shida Tupu hizo pesa kweli zingeingizwa wizara ya elimu umasikini usingepungua tunaelekea pabaya Mungu atusaidie kwakweli kama mambo yatakuwa hivi machafuko yatatujia ila tuombe Mungu atuondolewa...
  2. M

    Mliomshauri rais mmempotosha

    wakuu hapa mmenena sio vizuri wamefanya kwanza adabu hakuna nakuendelea kutaja au kujadili ugojwa wa binadamu mwenzako bila kusikitika ikikupata utafurahia,nakuambia
  3. M

    Lowassa: Rushwa ni kansa inayoitafuna nchi

    kiongozi gani anaweza kukemea kama sio EL wengine kelele tu ufutiliaji hakuna kama unataka ushaidi waulize ma RC na DC EL akiwa PM walivyokuwa wanachapa kazi
  4. M

    Lowassa: Rushwa ni kansa inayoitafuna nchi

    maize mwenyewe aingilie serikali iliyomgaragaza Kwa fitina ya PM hujajua ukweli weee
  5. M

    Waziri mkuu Pinda na AG Werema hawaonekani bungeni

    Kama walimuonea EL laana haitawaacha itatafuna mpaka wote wachafuke we jua ukichafua lazima yakukute.Pia hii laana ya kuchakachua katiba ndio ipo kooni itawanyonga maombi ya watu lazima yajibiwe na Mungu
  6. M

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    pia ukitaka kujua walimfanyia fitina angalia Escrow inavyopigwa chenga utajua kuwa kila mwenye maono tofauti lazima ile kwake hata Richimond kulikuwa na uwezo wa kupindisha lakini kwa kuwa walimtaka EL walifanya hivyo kujifanya wanatupenda wananchi kumbe bure tu .ila Kwa kuwa hakuna anayebeba...
  7. M

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    binafsi EL anafaa kujiuzulu in hekima kubwa kama aliiba kwanini hawakumshitaki mpaka leo
Back
Top Bottom