Hii nimeiona FB kupitia link imenileta hadi huku..
Nimejisikia vibaya sana Jamaa alivosimangwa kisa kuishi pale kwa miaka sita..
mleta mada hadi anaitoa huku manake ndani ya nafs anaumia jamaa akila chakula chake.
Sidhani kama jamaa kapenda hiyo hali n kwa kuwa amekosa Ramani.. Huyo ni...
Shalom shalom. Mwanamke aliyenizidi umri ananitaka mana nilikuwa nikimsalimia shikamoo anakwepa, ni limwalim wa secondary kanizidi kama miaka 15 hivi. muda wote anataka kuchat usipochat ananuna.
Ushauri wenu wanazengo
Nasumbuliwa na maumivu upande wa kushoto yaliyonianza baada ya kuumia uwanjan wakat nacheza mpira..
Wakati nimeruka juu mchezaj wa tim pinzan alinipga maeneo ya kifua upande wa kushoto..
Nilienda hosptal nikapiga X ray, nikapima vidonda vya tumbo..nkiawa sina na X ray haina shida..
Nikaenda...
Kwanza usikilize moyo wako una maamuzi gani kuhusu hiyo scenario..
Sisi ni washauri ila nguvu kubwa unayo mhusika mkuu..
Kitu cha mhim zaid ambacho inabd ukizngatie Utakaye mchagua muwe na Compactability.. Kwasababu ndoa nyingi unazoziona zinavunjika sababu kubwa ni Lack of compactability...
niliwahi kumuomba mdada mmoja wa chuo aliyeniamn sana kama wachumba..atantumia..
Alivonibwaga nikamsanua kuhus vdeo yake nlimnyanyasa nakumbuka nilipatia elfu 90 ili mzgo nisiachie hewani😅😅
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.