Recent content by Mtu na nusu

  1. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search Season 16 Special Thread

    Alistahili kuwa no 2 hata sijui nini kimetokea
  2. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search Season 16 Special Thread

    Nimesikia wana mapango wa kusign kipaji kipya kutoka east africa
  3. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search Season 16 Special Thread

    Haka katoto kamedeserve Diamond na WCB kipaji hicho hapo Msikiachie
  4. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Kama maslahi ya walimu nchini ni madogo, kwanini walimu wasiombe ajira kwenye nchi za kimataifa zinazolipa vizuri?!

    Haukusomewa maadili na miiko ya utumishi wa umma?
  5. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Kama maslahi ya walimu nchini ni madogo, kwanini walimu wasiombe ajira kwenye nchi za kimataifa zinazolipa vizuri?!

    😀 acha tu Wengi wanaofanya ishu zao Wameamua kukiuka hii sheria
  6. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Kama maslahi ya walimu nchini ni madogo, kwanini walimu wasiombe ajira kwenye nchi za kimataifa zinazolipa vizuri?!

    Nimeangalia baadhi ya nchi leseni sio kitu Na nchi nyingi leseni wanakupa wenyewe
  7. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Kama maslahi ya walimu nchini ni madogo, kwanini walimu wasiombe ajira kwenye nchi za kimataifa zinazolipa vizuri?!

    Mitaala inafanana kwa masomo ya science (physics, chemistry,biology, mathematics na geography) Lakini pia kuna fursa za kufundisha kiswahili kwa waliosoma kiswahili
  8. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 Ya BongoFleva: Makonda Akataliwa Na Wananchi

    Sasa itakuaje Make waziri wetu anajua anakubalika sana
  9. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Kama maslahi ya walimu nchini ni madogo, kwanini walimu wasiombe ajira kwenye nchi za kimataifa zinazolipa vizuri?!

    Sheria inasema hivi "Hairuhusiwi kwa mtumishi wa umma kumiliki au kujihusisha na shughuli nyingine inayomuingizia kipato binafsi nje na kazi yake"
  10. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Kama maslahi ya walimu nchini ni madogo, kwanini walimu wasiombe ajira kwenye nchi za kimataifa zinazolipa vizuri?!

    Mishahara ni midogo sana Basic salary ya graduate ni 990000 Baada ya makato ni 663000
  11. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Kama maslahi ya walimu nchini ni madogo, kwanini walimu wasiombe ajira kwenye nchi za kimataifa zinazolipa vizuri?!

    Mwalimu/ graduate ambaye anamiliki smartphone halafu halijui hili anahitaji kuchapwa viboko Ingia mtandaoni pambana mwenyewe, ukitumia watu utaibiwa
  12. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Kama maslahi ya walimu nchini ni madogo, kwanini walimu wasiombe ajira kwenye nchi za kimataifa zinazolipa vizuri?!

    Siku zinazohesabika ni siku 30 tu kwa likizo Muda mwingine wote wanatakiwa kuwa eneo la kazi Tena siku hizi kuna sheria inayowataka watumishi wa umma kutokujihusisha na shughuli yoyote yenye maslahi binafsi kinyume na hapo ni kosa kiutumishi
  13. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Kama maslahi ya walimu nchini ni madogo, kwanini walimu wasiombe ajira kwenye nchi za kimataifa zinazolipa vizuri?!

    Mtihani wa kingereza upo kwa mataifa kama canada ila qatar na south hakuna hilo
Back
Top Bottom