Recent content by Mtu Mzima

 1. Mtu Mzima

  Yasemwayo na hali hali halisi: uchumi awamu za Utawala Tanzania

  Mengi yanasemwa na yanaendelea kusemwa kuhusu hali ya uchumi kabla na wakati wa utawala wa awamu ya tano. Hasa kuhusu uvurugaji wa uchumi na mengine kedekede. Kabla sijatoa maoni kuhusu kampeni hasi inayoendelea hivi sasa hebu tupitie kumbukumbu na takwimu tangu uhuru kisha ndio turudi kwenye...
 2. Mtu Mzima

  Je, Tanzania imejiandaa kupokea dawa za Astra Zeneca zilizokataliwa huko kwingine? Pia tutakubali dawa za COVAX kama mkopo au tutagharamia wenyewe?

  Umeuliza maswali ya msingi ambayo bila shaka baadhi yatakuwa ni sehemu ya ajenda za kamati tarajiwa. Hata hivyo mambo mengine yako wazi hayahitaji utafiti. Hiyo chanjo ya AstraZeneca ambayo kwa kiasi kukubwa ndio inayosambazwa kupitia mpango wa Coxax haitufai hapa Tanzania kwa asilimia kubwa...
 3. Mtu Mzima

  Tanzania ni nchi huru, uchaguzi haurudiwi ng'o!

  Hakuna "Free lunch" hapa duniani. Wanatoa hiyo misaada kwa sababu na wao kuna kitu wanapata. Ndio maana wakafungua balozi zao hapa nchini. Kazi ya Balozi ni kutafuta fursa kwa manufaa ya nchi yake. Kumbuka kuwa kwa nchi nyingi hasa za Afrika ikiwemo Tanzania ni chanzo kikubwa cha malighafi hasa...
 4. Mtu Mzima

  Uchaguzi 2020 Jumuiya ya Madola yatoa taarifa rasmi kusikitishwa na yaliyotokea Tanzania kipindi cha uchaguzi mkuu ikiwemo udanganyifu na mauaji

  Hili ni tamko la kawaida sana bahati nzuri mambo yaliyomo kwenye ujumbe/ushauri huu tayari yote yameshafanyiwa kazi nitaeleza kwa ufupi kwa lugha yetu pendwa ili kila mtu aelewe: ----------- The Commonwealth Secretary-General, The Rt Hon Patricia Scotland QC, has strongly urged authorities to...
 5. Mtu Mzima

  Uchaguzi 2020 Msajili amwandikia barua Maalim Seif akimtaka ajieleze kwanini kapanda jukwaa moja na Tundu Lissu kule Kilimanjaro!

  Wamejikaanga kwa mafuta yao., Katiba waliandaa wenyewe na walijua kuwa kama wana mgombea wa chama chao hawaruhusiwi kumpigia debe mgombea wa chama kingine. Kwa maana hiyo ACT wamevunja katiba yao wenyewe ambayo ilisajiliwa na Msajili na kuwapa uhalali wa kuwa chama cha siasa. Kama ikithibitika...
 6. Mtu Mzima

  NEC yafafanua Upotoshaji kuhusu Karatasi za kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020

  Inawezekana ile tabia ya kudeka viongozi wa CDM washaambukizana wote..kila siku kulialia tu wakati ukweli upo wazi
 7. Mtu Mzima

  NEC yafafanua Upotoshaji kuhusu Karatasi za kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020

  Majibu hayo hapo.. endeleeni kutafuta kura. Wananchi wanataka viongozi wachapa kazi sio viongozi lialia....
 8. Mtu Mzima

  Uchaguzi 2020 John Heche: Mgombea wetu wa ubunge Serengeti, Catherine Ruge na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, ndugu Garatwa, wamepigwa na polisi na kuchaniwa nguo

  CHADEMA endeleeni kushikiwa akili zenu na Robert Amsterdam anayewadanganya mlete vurugu, by the way mpelekeeni picha ili awe na ushahidi wa kupeleka ICC ...
 9. Mtu Mzima

  Uchaguzi 2020 John Heche: Mgombea wetu wa ubunge Serengeti, Catherine Ruge na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, ndugu Garatwa, wamepigwa na polisi na kuchaniwa nguo

  Hayo ya Pole x2 Pelekeni malalamiko sehemu husika, hawawezi kufanyia kazi malalamiko yaliyoletwa JF, hapa tunajadili tukio la Serengeti
 10. Mtu Mzima

  Utafiti wa mpya wa Kisayansi uliochapishwa jana wathibitisha Rais Magufuli alikuwa sahihi kutoweka katazo la kutoka nje "lockdown"

  Utafiti mpya kabisa wa kisayansi uliochapishwa jana kwenye Jarida la Sayansi la BMJ (BMJ 2020;371:m3588 ) umethibitisha kuwa JPM alikuwa sahihi kutowafungia watu kwa sababu ya corona. Utafiti huo unaonyesha kuwa kuwafungia watu kunaongeza madhara zaidi ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya...
 11. Mtu Mzima

  Nahisi kuna jambo kubwa nyuma ya pazia ambalo uongozi wa juu wa Serikali, CCM na CHADEMA wanajua, wananchi hatulijui

  Mtu alielimika hawezi kuandika kama ulivyoandika wewe unayejiita Tigershark... ni bora wajinga wana nafasi ya kujirekebisha kuliko wapumbavu ambao hujiona wanajua kila kitu kiumbe ndio empty head. Kichwa pipa ubongo kama choroko...
 12. Mtu Mzima

  Nahisi kuna jambo kubwa nyuma ya pazia ambalo uongozi wa juu wa Serikali, CCM na CHADEMA wanajua, wananchi hatulijui

  Huwezi kuomba uongozi wa nchi kwa kutegemea dola za kigeni. Tangazeni sera zenye mvuto. Taarifa hizi zinathibitisha ajenda OVU mlizonazo dhidi ya nchi kwa kulinda maslahi ya mataifa ya nje. Watanzania sio wajinga wala hawahitaji kurudi utumwani. Tanzania Kwanza.. Mitano tena..
 13. Mtu Mzima

  Watumishi wa Serikali na siasa za mishahara

  Heri uwe maskini kuliko kuwa mjinga....
Top Bottom