Recent content by Mtu kweli

  1. M

    JamiiForums Nabii Catherine Ntepa

    Biblia imekamilika katika unabii wote kwa kile ambocho Mungu anataka tufanye, hao wanaojiita manabii kwa sasa ni manabii wa uongo wakubwa. Wanawadanganya wanaodanganyika.
  2. M

    JamiiForums Nilikwenda kuzimu na nikarudi duniani (simulizi ya kweli)

    Acheni uongo, neno kuzimu ni kaburi. Kama unataka ushahidi wa Biblia nitafute 0767716181.
  3. M

    JamiiForums Kamanda Sirro: Makonda ni Mwenyekiti wangu, kama ana wasiwasi atajua atachukua hatua gani dhidi yetu

    Kwani mmesahau alichokifanya kwa Mhe Warioba, Mhe Siro fanya kazi kwa ujasiri ulionao, achana naye.
  4. M

    JamiiForums Marekebisho ya posho na mishahara ya Watumishi wa Umma: Mishahara ya wabunge kutoguswa

    Si mlisikia kale kawimbo, na bado, tutaisoma.
  5. M

    JamiiForums Dalili za mwisho wa ulimwengu

    Hilo lilisha fanikiwa siku nyingi, pengine hata wewe ni mfuasi wa huyo bwana mkubwa katika gazeti hilo. Je huoni kuwa kuna umoja wa makanisa ya kikristo? Je unalijua fundisho la uongo la Mungu nafsi tatu, je fundisho la uongo eti mtu akifa na kuzikwa kaenda mbinguni? Yote hayo na mengine...
Back
Top Bottom