currently siko kwenye uhusiano,2 yrs back nlikuwa kwenye uhusiano,it was just a relationship though tulikuwa tumepanga kwamba tutaoana na mambo mengine mengi tu,i never enjoyed that relation, i was always a victim,sijui yule mkaka alitaka uhusiano na mimi kwa ajili gani kwa sababu yan me ndo...