Recent content by mtotomaasai

  1. mtotomaasai

    NACTE yazindua Udahili wa Masomo ya Juu 2016/17

    Guidebook nadhani zinatolewa baada ya kidato cha sita kufanya mtihani.
  2. mtotomaasai

    NACTE yazindua Udahili wa Masomo ya Juu 2016/17

    Ninavyojua clinical medicine na nursing uwa wanaconsider four pases yaani D -4 ,ebu jaribu kuomba mapema ili kama pia Math ni lazima uwe umefaulu ujue mapema uchukue corse ingine mwaka usikupite.
  3. mtotomaasai

    Walimu 8 wakamatwa kwa kujihusisha na mapenzi na wanafunzi

    Tena waalimu wanaokua na wanafunzi kimapenzi uwa wanajifanya wakali sana, kumbe ili kuficha uovu wao, natamani kujua historia ya hawa waalimu.
  4. mtotomaasai

    Walimu 8 wakamatwa kwa kujihusisha na mapenzi na wanafunzi

    Ok poa ,Tuombe uzima then one day utaniambia,mi natamani tu uwe mzazi alafu ndo uzungumzie ilo,kwa sasa ni very simple maana mtoto wa mwenzako sio wako......uchungu wa mwana aujuae mzazi.
  5. mtotomaasai

    Walimu 8 wakamatwa kwa kujihusisha na mapenzi na wanafunzi

    Hakuna tatizo ngoja tuone kesi itaishia wapi,ila kama ikiwa ni kweli hao waalimu walihusika na makosa hayo ya kuwa na wanafunzi kimapenzi ,waalimu wa kike nao wakiulizwa kwamba je hawakulijua ilo sio dhambi,maana mpaka wazazi wajue na uchunguzi ufanyike na watu kuwekwa mbaroni ilo tatizo sio...
  6. mtotomaasai

    Walimu 8 wakamatwa kwa kujihusisha na mapenzi na wanafunzi

    Ulikosea ungemfunza adabu maana ualimu sio kazi ya kujitolea ni ajira kama ajira zingine ,na kama mwalimu unaona una udhaifu kwa wanafunzi badilisha kazi au oa umshonee mkeo uniform ,sio kutuharibia watoto wetu.
  7. mtotomaasai

    Walimu 8 wakamatwa kwa kujihusisha na mapenzi na wanafunzi

    Ilo sio jibu kabisa maana hata kama wewe ni kijana iko siku utakua mzazi na hautafurahi mwanao kupotezewa malengo ya kusoma na mwalimu wake ambaye ndo anayetambua umuhimu wa elimu kwa mtoto. Ilo nalo ni pepo tu hao waalimu wawajibishe alafu maombi watajifanyia wenyewe baada ya kupata adhabu.
  8. mtotomaasai

    Walimu 8 wakamatwa kwa kujihusisha na mapenzi na wanafunzi

    Usemalo ni kweli ila mpaka tatizo likomae kiasi icho hao waalimu wa kike wasingejali wao kuchukiwa ila hata kwa siri wangetoa taarifa izo,nao wanastahili adhabu kabisa maana mwalimu ni mlezi walipaswa kuwalinda hao watoto.
  9. mtotomaasai

    Angalizo: Daraja la Buguruni zimewekwa chini nondo za MM12

    Duh hapo ndo shida ilipo ni siri yao kutengeneza ila itakua hadharani wakati watz wakifa kwa ubovu wa daraja,Mi naona ni sawa kabisa kutoa taarifa izi ili kama kuna wahusika karibu wafanyie kazi,lakini pia sioni haja wa sisi kubishana humu ndani badala yake kama wewe sio mtaalamu wa ujenzi wa...
  10. mtotomaasai

    Angalizo: Daraja la Buguruni zimewekwa chini nondo za MM12

    Hahaaaa,Hayo maendeleo anafanyiwa nani wakati daraja likiwa chini ya kiwango ndo ivyo tena watu watakufa wa kutosha.
  11. mtotomaasai

    Sasa ni wakati wa kujibu mapigo - Maalim Seif

    Na katika hali ya kawaida kabisa haiwezekani CCM kumpaqta Raisi Pemba wakati awana kiti hata kimoja,labda iwe ajabu la nane Duniani
  12. mtotomaasai

    Baada ya UKAWA kushindwa kwenye mikutano ya Kampeni, wageukia mitandao ya kijamii

    Mfa maji mwanzoni uwa anacheka sana ila akikaribia kukata roho anatapatapa,mwisho wa CCM 25 October tena leo tar 1,siku chache tu.
  13. mtotomaasai

    Nyalandu aanza kampeni kanisani, amhusisha Kikwete na majini

    Uongo ni mbaya sana,Hata kama kiongozi hajafanya vizuri kwa kipindi chake au mkawa na uhasama wenu wenyewe sio vyema kusema jambo ambalo ukiitwa kutoa maelezo utabaki mdomo wazi, kama mnataka kumpa kura muumini wenu mnampa tu ikitokea amefanikiwa kufika stage ya mwisho ya kuchaguliwa na...
  14. mtotomaasai

    Nyalandu aanza kampeni kanisani, amhusisha Kikwete na majini

    Atakuwa Rais wa Efata,Tena uyu anayetangazwa na mchungaji wake afai kabisa,Tanzania tunataka Rais wa nchi si wa Efata.
  15. mtotomaasai

    Makongoro Nyerere, urais hautafutwi kirahisi hivyo! Watanzania muwe macho!

    Binafsi sijui nani anafaa kua Raisi ,watanzania tukumbuke sera za kampeni sio zote zinatimilika,hata wanaomaliza awamu waliaidi nyingi na sio zote wamefanya,maneno mengi sio uzuri wa mtu,utajiri na umasikini sio sababu,utu ndo cha msingi kama mtu hana utu tutaumia bado.
Back
Top Bottom