Recent content by mtoto_wa_mama_ntilie

  1. mtoto_wa_mama_ntilie

    JamiiForums Tanzania Umegundua nini kwenye hii video ya maaskari

    Hawa wakapigane Vita make wamejisau Sana ata gwaride tu
  2. mtoto_wa_mama_ntilie

    JamiiForums Tanzania Confession ya mambo uliofanya siri ambayo hamna mtu yeyote anajua

    Anywai ya mwsho iko funny [emoji2]
  3. mtoto_wa_mama_ntilie

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi mikoa ya Dar na Morogoro

    Mimi Niko Morogoro, age 23 mzima niko na mada hapo nawasilisha. Alie na connection ya kazi zifuatazo kwa MORO au DAR naomba Kupakia na kushusha tofali za cement Kushusha cement kwenye semi Kupandisha zege gorofani Kupakua mizigo kwenye magari Pia Kama mtu ana upeo na kazi za ukuli bandarini...
  4. mtoto_wa_mama_ntilie

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Habarini wakuu Samahan kwa upande wa dodoma fomu ya daktari inapatikana stationari gan apa barabara ya 8 naona nmezunguka karibu niikose [emoji856][emoji40]
  5. mtoto_wa_mama_ntilie

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    sijaona hcho kipengele lakin kuna mdau alipeleka akaambiwa aambatanishe so sina uhakika niliomba kuulizia kwa walokusanya
  6. mtoto_wa_mama_ntilie

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wakuu samahann naomben kuulizia kwenye kutuma hizi barua za maombi kunaitaji barua ya mwenyekiti wa mtaa na passport.?
Back
Top Bottom