Recent content by Mtoto wa Tanga

  1. Mtoto wa Tanga

    Sonona! imenielemea. Msaada!

    Tumwegemee Mwenyenzi Mungu. Ndiye mwenye uwezo wa kutujaalia wepesi. Ameen.
  2. Mtoto wa Tanga

    Tanzania tulivyotekeleza Azimio la Beijing la 1995

    Leila amesema mabinti wanaopata ujauzito wakiwa shule wapewe fursa kusoma kwenye vituo maalum. Hii itawasaidia wasiwe tegemezi. Mtoto akikosea anasahihishwa. Tukiwaacha tu, wataharibikiwa. Wanaweza kujiingiza kwenye biashara haramu ya uchangu doa. Hivyo, wasaidiwe tusiwapoteze kabisa.
  3. Mtoto wa Tanga

    Pakistan yapitisha Sheria ya kuhasi wabakaji

    Tuangalie upande wa pili. Iwapo kwenye 100 wanaokutwa na hatia ya kubaka mwanamke, wakahukumiwa kuhasiwa, na baadaye pakapatikana vidhibiti na ushahidi kuwa mmoja kati ya hao 100, alikuwa hana hatia, tutakuwa hatujatenda haki. Adhabu aina hii pia inaweza kupelekea wajinai kuua victims wao ili...
  4. Mtoto wa Tanga

  5. Mtoto wa Tanga

    GE2020 Leila Sheikh: Marekani wana kizabinazabina kwa matamko yao kuhusu uchaguzi wa Tanzania

    Shwaini lakike wewe. Jaribu niwaburuze mahakamani. Mnafikiri hatuwajui mnavyojificha nyuma ya majina bandia?
  6. Mtoto wa Tanga

    GE2020 Leila Sheikh: Marekani wana kizabinazabina kwa matamko yao kuhusu uchaguzi wa Tanzania

    Utamani ushombe Madam T? Labda wa kununua kwenye krimu na Brazilian weaves 😅. Mie chotara kweli. Mweupeeee... Manywele nayakalia. Sasa wewe mwenzangu kinyonyoke? Tena huyo dayuzz kakosea. Mie Mbondei na Mjeremani. Capice?
  7. Mtoto wa Tanga

    GE2020 Leila Sheikh: Marekani wana kizabinazabina kwa matamko yao kuhusu uchaguzi wa Tanzania

    Hallo! Retired? Ukikosa ajira nitafute nikupatie viji consultancies kwenye Haki za Wanawake
  8. Mtoto wa Tanga

    GE2020 Leila Sheikh: Marekani wana kizabinazabina kwa matamko yao kuhusu uchaguzi wa Tanzania

    Kweli hamuwezi uchambuzi wa mijadala mipana kwenye vyombo vya habari.
Back
Top Bottom