Recent content by mtoto wa Mshana

  1. mtoto wa Mshana

    JamiiForums Anataka tufunge ndoa usiku baharini (deep sea)

    hapana sio jini, nimejaribu kumpiga picha kwenye simu na ameonekana. jini ukipiga picha haonekani kwenye simu.
  2. mtoto wa Mshana

    JamiiForums Anataka tufunge ndoa usiku baharini (deep sea)

    sio uongo mkuu,, najua wengi hawataamini,, ila dunia ni kubwa, ni vingi tusivyovijua.
  3. mtoto wa Mshana

    JamiiForums Wanaume wenye tabia hii mnakera sana muwapo sita kwa sita

    miss u too,, hujambo?
  4. mtoto wa Mshana

    JamiiForums Anataka tufunge ndoa usiku baharini (deep sea)

    Habari zenu wadau, Nimekua na mahusiano ya zaidi ya miezi 7 na binti mrembo sana, tangia nizaliwe sijawahi kumuona mwanamke mrembo duniani kama yeye, rangi yake ya kahawia, sauti nyororo, macho yake nikimuangalia huwa nahisi kama dunia husimama ghafla na mapigo ya moyo huenda mbio. Nampenda...
  5. mtoto wa Mshana

    JamiiForums fahamu tafsiri ya ndoto za mapenzi.

    habari zenu wadau, je umewahi kulala siku moja ukaota unafanya mapenzi usingizini? je umewahi kuota unafanya mapenzi na mwanamke ambae humjui ( hujawahi kumuona katika maisha ya kila siku) ? je nini husababisha ndoto za aina hii? je umeshwahi kuota unakimbizwa na mnyama usingizini? hapo...
  6. mtoto wa Mshana

    JamiiForums Ifahamu nguvu ya shuka jeusi katika mapenzi na ndoa

    Hamjambo wadau, Leo ningependa kuongelea kidogo juu ya hili jambo. Najua wengi wenu hamna utamaduni wa kulalia shuka lenye rangi nyeusi, mmezoea meupe, na yenye rangi zingine ila sio nyeusi. Hivi umewahi kujiuliza ni kwanini watu hawapendi kutumia mashuka yenye rangi nyeusi? Ni siri gani...
Back
Top Bottom