Recent content by Mtoto wa kijiji

  1. M

    Hospitali teule ya Muheza Tanga itatumaliza

    Nimeifahamu hii hospitali kwa muda mrefu tangu nikiwa mdogo. Ilikua ni hospitali nzuri sana, ila kwa hili lililotoke wiki moja ilopita sina hamu na hii hospitali Tulimpeleka dada yetu akiwa anasumbuliwa na tumbo, akapimwa kujua nn tatizo tumboni kupata hayo majibu sasa ndio balaa, kila ukiuliza...
  2. M

    Mirerani ukuta umejengwa na unalindwa na jeshi, kwanini madini yanakamatwa nje?

    tbc1,taarifa ya saa 2 usk jana.hawakutoa taarifa kwa kina zaidi ya kusema mrisho gambo nae alikua sehemu ya tukio kushuhudia.nahitaji kujua undani wa tukio...
  3. M

    Mirerani ukuta umejengwa na unalindwa na jeshi, kwanini madini yanakamatwa nje?

    Nilisikia tbc1 jana kwamba kuna dhahabu ilikamatwa arusha,kilo kadhaa kwenye bus zikitoroshwa kwenda nchi jirani.mwenye kufahamu idadi kamili ya dhahabu hyo na ilikua inatoroshwa kwenda nchi gani?.
  4. M

    Mataa jiji la Arusha

    umeamua kuhangaika na neno totoro....umeelewa hoja ya msingi inatosha.
  5. M

    Mataa jiji la Arusha

    Hakuna asiyefahamu kua traffic lights sanawar zimezima zaidi ya mwezi sasa....
  6. M

    Mataa jiji la Arusha

    ya kuongoza magari mkuu.ni hatari kwa watembea kwa mguu...
  7. M

    Mataa jiji la Arusha

    Ni ndani ya jiji la Arusha. Mataa ya Sanawari karibu mwezi sasa ni giza totoro. Nini tatizo haswa,ni wataalam au pesa? Nawasilisha
  8. M

    Mwigulu Nchemba awapinga kwa hoja nzito wale wanaotaka mtu akiwa mwanachama wa CCM hapaswi kuwa mkurugenzi

    Mleta mada.nani kasema mwana ssm hatakiwi kua mkurugenzi?.hoja ni wao kusimamia uchaguzi hali ni wana ssm.change heading please....unatuchanganya
  9. M

    Mwigulu Nchemba awapinga kwa hoja nzito wale wanaotaka mtu akiwa mwanachama wa CCM hapaswi kuwa mkurugenzi

    mleta uzi nae kma hajielewi.kuna hoja nzito hapa kweli.you need to say judges made mistake in judgement,or?.kueleweki.
  10. M

    Mwigulu Nchemba awapinga kwa hoja nzito wale wanaotaka mtu akiwa mwanachama wa CCM hapaswi kuwa mkurugenzi

    mwigulu anajua maana ya tume huru ya uchaguzi?.nani kasema kwamba suala hapo ni kazi?.
  11. M

    Waziri wa zamani, Profesa Juma Kapuya afunga ndoa na binti wa miaka 25

    umejitoa ufahamu.nn hakieleweki hapo sasa? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Mbunge wa Kinondoni bwana Mtulia kulikoni kulindwa na Serikali?

    Mwisho wa kulindwa ni 2020.atakua ashatumia na kupewa talaka na ssm Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom