Recent content by Mtoto wa Huruma

  1. Mtoto wa Huruma

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    H Hawezi kupewa muda kwa kuwa yeye ndiyo anataka kuondoka akiamini timu aliyopo si sahihi kwake.
  2. Mtoto wa Huruma

    Maria Sarungi aishtaki Serikali ya Tanzania kwa Beyonce kuhusu suala la Ngorongoro

    Unafahamu nambari ya akaunti ya benki anayopokelea malipo yake? Ingelikuwa wewe ndiyo upo Loliondo wakati huu una makazi yako,maeneo yako kwa ajili ya shughuli zako tofauti uambiwe uhame na uendako huna hukujui,ungeondoka? Mkuki kwa nguruwe ni mtamu ila kwa binadamu mchungu
  3. Mtoto wa Huruma

    Msaada juu ya programming languages

    Anza na C,hizi zingine utazielewa bila tabu
  4. Mtoto wa Huruma

    Msaada juu ya programming languages

    Umewahi kusoma programming language yoyote? Kama jibu ni hapana anza ni C kwa kuwa programming language zimeundwa tokea kwenye C hivyo itakupa urahisi wa kujifunza zingine kama C++,C#,Java,Python na zingine bila shida.
Back
Top Bottom