Recent content by mtoto wa gwasa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa walimu waliopo Dodoma

    Mi ni secretary mtaalamu wa kuchapa nafasi ipo?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Mimi nina miaka 36 na wala sina wasiwasi vumilia utampata akupendae
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa walimu waliopo Dodoma

    Mimi ni PS mchapaji mzuri wa mitihani ukifungua usinipite please
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nilijaza fomu ya ajira ila hadi sasa sijaitwa kazini, ajira yangu bado ipo?

    Kituoni yaani udom niliripoti nikajaza mkataba na vitu vyote vinavyotakiwa, nikaambiwa sehemu ya kuanza kazi lini nisijaze, wakasema siku hizi huwezi anza kazi kabla cheque number haijaja wanaepusha kuibebesha mzigo serikali
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nilijaza fomu ya ajira ila hadi sasa sijaitwa kazini, ajira yangu bado ipo?

    Nitashukuru, jukwaa lake ni lipi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nilijaza fomu ya ajira ila hadi sasa sijaitwa kazini, ajira yangu bado ipo?

    Habari za asubuhi wadau, Mimi ni mgeni kabisa humu hata kamba haijatoka. Naombeni kuuliza, mimi nilifanya interview UDOM na kufanikiwa kufaulu sasa January 2016 nikajaza fomu ya ajira. Hadi leo sijaitwa kazini, hivi ajira yangu itakuwa bado ipo kweli? Nafuatilia sana ila jibu ni cheque number...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake nimewanyoshea mikono

    Jamani hii ni danger
Back
Top Bottom