Recent content by MTOTO WA DC

  1. M

    Vijana mlioko kwenye mashirika ya Pensheni na Taasisi nyinginezo, Chapeni kazi!

    Habari wana JF,nimeona na mimi nijitokeze nichangie machache katitka hili.Kunavitu viwili huwa vinafanyika katika taasisi karibu zote za serikali,kwanza karibu zote zinanuka rushwa,pili taasisi zote serikalini zina wajanja wachache wanajua michezo ya pesa.Mfano:mjanja mmoja anachelewesha...
  2. M

    marioo

    Pole cinderela muombe mungu akujalie wa kwako na si wa wote,atakujali,atakuthaamini,atakuheshimu na kukupenda kwa dhati.
  3. M

    looking for a good man

    Sasa dada yangu mimi sifa zote ninazo isipokuwa MFUPI,vp huwezi kunipa nafasi ya upendeleo.Kama ombi langu limekubaliwa ni PM tafadhari I'm serious.
  4. M

    Mume anahitajika

    Usijali aunt yangu hakuna limit ya umri wa kuolewa,endelea kumuomba mungu atakupatia wa kukutuliza moyo.Msalimie sana mtoto wako na endelea kuwa mama mwema
  5. M

    Mrisho nyuma!

    Kwanza pole sana maana kusalitiwa kunauma kupita kiasi,kumbuka siku zote usichukue maamuzi wakati unahasira tenga muda kwanza,naamin anastahili kusamehewa na kumpa second chance.Mwambie akupe muda kama 1month hivi utulize akili na fikra halafu unaweza kumwita na kuongea naye taratibu.Jambo la...
  6. M

    Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

    Tuliza moyo wako kwanza kama wiki 2 hivi halafu anza kuzungumza na mungu kwa kufunga na kusali ili upate majibu ya ndoa yako na kumfukuza ibilisi katika ndoa yako.Kumbuka siku zote hizo usizungumze naye tean kama itawezekana funga tatu kavu namaanisha bila kula kitu chochote kwa siku tatu na...
  7. M

    Raila odinga,rais wa wakenya anayehujumiwa.

    Ni ukweli mtupu uyasemayo mdau,Raila Odinga ndiye hasa anastahili kuiongoza Kenya lakin kutokana na Ukabila itakuwa ngumu sana kuwa Rais wa Kenya,Ili ukubalike Kenya ni lazima utoke kwenye makabila makubwa ya huko kama KIKUYU etc.Namuonea huruma sana Odinga kwani siku zake zinahesabika anamuda...
  8. M

    Tulifanya for funny sasa anataka kujenga kibanda

    Mambo vip Mabreka,topic yako imenifanya nijitokeze kwa mara ya kwanza kutoa comments humu JF baada ya kuwa member wa kusoma comments tu za wadau kwa miaka mingi tu.Kwanza ni kweli ataumia sana ukimwambia live kuwa humtaki wat you can do is that mtafutie sababu namaanisha tengeneza manzingira...
Back
Top Bottom