Recent content by Mtonyo Wa Madafu

  1. M

    Dk. Slaa matatani kwa ubaguzi

    Yote hii kuidhofisha CDM & UKAWA! "Uwongo wa kuzusha nyie, Utabil kuwa cdm kwishney nyie" bac msiangaike nayo
  2. M

    Vyama Washirika wa UKAWA vyadhihirisha kuwa ni vyakikabila, Kikanda na kidini

    Mbona majibu yapo wazi kabisa unaliiiaaa. UKAWA wamegawana majimbo kutokana na mgombea wa chama gn anakubalika ktk eneo hlo na wale waliopo kwny ubunge wataachiwa majmbo yao. Hayo ya ukabila, udin na ukanda n yenu ndio mnayoshklia nakukalil toka 19.... UKAWA hbr ya mjn
  3. M

    Vijana wa CHADEMA waliokamatwa na zana za Kijeshi, waachiwa kwa dhamana

    Asante sn kamanda kwa taarifa hii. sasa mpaka hapo na kufikia October nadhan watz watajua fika ni chama gan cha matukio.
  4. M

    CHADEMA inatumia koti la UKAWA kujikongoja kisiasa

    UKAWA, habari ya mujini. mna angaiiiikaaaa na CDM mara Ukawa, tulieni. hzo nyuzi zenu za kila siku wimbo ule ule tumezichokaaaaaaaaaaaaa. mkalale sasa
  5. M

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kimefikia tamati yake

    Km kimekufa unapoteza muda wako wa nn kutunga ngonjera yko hii.
Back
Top Bottom