Recent content by Mtondoli

  1. Mtondoli

    CHADEMA ya sasa ni ya kizazi cha watu waoga sana

    Inawezekana mkanipinga kama ilivyokawaida yenu huwa hampendi kuambiwa ukweli. Chadema hii ni ya vijana waoga sana sana, wako Dkt. Slaa CHADEMA walikuwa wakitangaza maandamo yanakuwa maandamano kweli. Watu walikuwa wanasafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kushiriki maandamano. Si kwamba...
  2. Mtondoli

    Nisaidieni nampenda sana Giggy Money

    Nampenda hivyo hivyo na nimechakata kwanza kabla ya kuamua
  3. Mtondoli

    Nisaidieni nampenda sana Giggy Money

    Ha hahaaahmbona unanitisha Mimi nimeoza
  4. Mtondoli

    Nisaidieni nampenda sana Giggy Money

    Sina mengi nisaidieni kumwambia, nampenda mwambieni nitatoa mahari anayotaka yeye, afu mwambieni ndoa tutafungia Saadani, mwambieni niko tayari na nipo kwa ajili ya kumpa Raha, siitaji kulelewa ila kumlea.
  5. Mtondoli

    Bima ya Afya kwa Wote (Universal Health Care)Rais Samia atoa TZS 149BL

    Huyo ni mange au macho yangu na uzee sioni vizuri nisaidieni
  6. Mtondoli

    Neno 'mfumo dume' lisitumike vibaya kwa kuanza kuwabagaza wanaume na kutowapa heshima yao

    Sijajua umetumia ubongo gani kufikiri, ukweli ni kwamba nyinyi wanawake mnataka kuleta laana katika nchi ,mungu hakukuumba uje uwe kiongozi wangu by nature ,Ila tamaduni za wazungu na mikutano kipumbavu wa Beijing umetuharibia utamaduni wetu ,nakataa na ninaanza kampeni rasmi kushawishi wanaume...
  7. Mtondoli

    Chonde chonde wabunge wa CCM msichague Tulia Ackson kuwa Spika, tayari ameshaonesha udhaifu wa kutosimamia katiba ya JMT. Hafai kabisa kuwa spika

    Kwani nyinyi wanambeya mnakula kwake? Mpuuzi tu Yule na ananyodo Sana afu anakaunyakyusa flani ka kifala Sana hafai
  8. Mtondoli

    Neno 'mfumo dume' lisitumike vibaya kwa kuanza kuwabagaza wanaume na kutowapa heshima yao

    Wadau hili neno mfumo dume kwa hapa Tanzania tunapaswa kulifuta haraka ,.tukiendelea kulichekea ni muda mchache imebaki wanaume tutaanza kuandamana kupinga mfume jike. Kwa Sasa inaonekana sisi wanaume ni majitu ya hovyo na makatili sana. Hatupewi hata heshima ya asili tuliyopaswa kupewa,iwe...
  9. Mtondoli

    Job Ndugai ajiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hatimae imekuwa , Yule joka mkuu ameanguka. Babeli imeanguka na waliokuwamo ndani yake hawatapona asilani, aliyeumiza wengine ,aliyedharau maumivu ya wengine,aliyewavua ubunge watu waliojeruhiwa kwa risasi wakiwa I.C.U aliyewapiga bakora waliopingana nae,hatimae nae ameanguka kwa kishindo kikuu...
  10. Mtondoli

    Tundu lissu alipata kusema, wakitumaliza sisi watageukiana wao kwa wao

    Vita hii ilikuwa ndogo Sana, ilitakiwa iishie ofisini tu na kwenye kamati za maadili ya chama. Lakini Sasa matamshi ya mama si tu yatufanya watanzania tuhamaki la Bali dunia nzima habari hii itarushwa. Jiwe la Ndugai kwa Rais lilikuwa la kawaida tu lakini jiwe la mama kwa Ndugai ni kama...
  11. Mtondoli

    Benki ya Kilimo Tanzania haina faida yoyote kwa Mkulima

    Yaani ndugu hii bank ipo dar na dodoma inahusika na wakulima wanaolima kariakoo ,tandika na gongo l
  12. Mtondoli

    Benki ya Kilimo Tanzania haina faida yoyote kwa Mkulima

    Yaani ndugu hii bank ipo dar na dodoma inahusika na wakulima wanaolima kariakoo ,tandika na gongo la mboto tu
  13. Mtondoli

    Benki ya Kilimo Tanzania haina faida yoyote kwa Mkulima

    Wadau wenzangu wakilimo hiki kinachoitwa benki ya kilimo naona Kama hakina tija yoyote kwa mkulima halisi,najua mkulima yupo kijijini Lyazumbi, Katonto,Muze,Mtowisa,Chikumbulu huku au Ngulugulu huko Ileje ndani na vijiji vyote vinavyohusika na kilimo hawana taarifa na namna ya kunufaika na benki...
  14. Mtondoli

    Rais Samia hana interest na kilimo, wakulima tujifungeni mkanda

    Duniani kote utawala wowote unawekeza nguvu kubwa kwenye kilimo na hata wananchi karibia 78% ni wakulima wanategemea kilimo tu kuendesha maisha yao. Rais wetu nimefuatilia hotuba zake zote kilimo kwake yeye sio kipaumbele kabisa. Anazungumzia ujenzi wa miundombinu kama madaraja, reli ununuzi...
  15. Mtondoli

    Serikali kukubali Katiba kuwekewa viraka Dodoma maana yake ni hii...

    Katika hotuba zote za lissu hii yaleo ni hotuba ya kiume yenye data na iliyoandaliwa kisomi Sana,hongera lissu karibu nyumbani
Back
Top Bottom