Wana bodi huu upuuzi wa kutumia watoto katika halaiki na kuwalipa 3,000/= ni aibu. Yaani watoto washiriki mazoezi kwa muda wa wiki tatu(3) na gharama za usafi ni kwa wazazi, kisha baada ya kukamilika zoezi hilo wanaambulia tracksuits na Shilingi 3,000/=. Wakati wakuu wa idara wanapewa nauli...
Mie Nakumbuka ilikuwa kipindi cha Bashungwa na iliruhusu magari madogo,daladala na mabasi makubwa. Yale malori hayakuruhusiwa kupita. All in all barabara ya Kilwa ina jam kubwa sana,ile ilisaidia sana. Ukishashiba maharage ndiyo yanakutoka tu.
Usijali. We nenda tu. Mnainjoi sana kama bahari iko shwari. Ila ikikasirika usithubutu kusafiri kwa meli. Utakuja nishukuru baadaye. Penda sana kuangalia utabiri wa hali ya hewa ndiyo dira nzuri kwa safari za baharini. Ukichukulia siku hizi watabiri wetu wakitema utabiri ni mle mle mfano Hidaya wind
Hakina matukio makubwa ambayo media zitafanya coverage kubwa. Ila kipo kitambo tu na maisha yanaenda. Papa potwe ndiyo alama yake. Maana ni kiumbe anayepatikana hapo tu.
Asante kwa kujitahidi kueleza. Kwakuwa issue ya umeme ni kero kubwa kwetu wateja. Sina haja ya kuku attack personal. Inaweza kuwa una vyanzo vingi but kukatika kwa umeme ni kero. Sina msongo as you think. Tatizo kubwa ni hii kero kubwa pande hizi za Kibiti.
Unazungumzia taarifa zipi sasa? Maana hii ya kukatika leo mmesema ilitoka mapema, na kwa kuwa sipo kwenye group la wilaya. Je na wale ambao hawapo kwenye group la wilaya mnawafikiaje maana nao ni wateja wenu na wana haki ya kujua sababu ya katizo la umeme. Hoja ya pili ambayo niliuliza kuhusu...
Hivi hizi taarifa hadi mchokozwe ndiyo mnazitoa hadharani? Na siyo issue ya leo tu, kila wakati umeme hauko stable. Kukatika katika imekuwa jadi. Rekebisheni hilo tatizo.Kibiti, Rufiji hawajawahi kuwa na uhakika wa umeme. Naanza kuamini hoja moja ilitolewa humu jf kuwa inawezekana nchi yetu ni...
Yaani TANESCO KIBITI mnatia aibu sana. Kila siku umeme hauwaki mfululizo zaidi ya saa moja au mawili. Hii haijalishi ni usiku au mchana. Yaani ni mwendo wa washa zima. Mjitafakari sana.
Na msivyo na aibu mnasema eti ni miundombinu wakati tangu umeme umeingia wilaya ile haijafika miaka 10. Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.