Pole
GOP watapoteza House lakini sio Senete, ni kama mwaka 2024, GOP walitamba na red Tsunami lakini bado Biden aliweza ku-control Senete.
2014 pamoja na Obama kupendwa ila Democrats walipigwa kipigo kitakatifu
Hii nguvu ya marekani inatisha. Juzi Waziri wa fedha wa Marekani alitangaza kuwa Iranian Airlines itapigwa ban Dunia nzima. Na nchi itakayoruhusu ndege za Iran kutua basi itakabiliwa na vikwazo vya Marekani
Cha kushangaza nchi nyingi zimeipiga ban Air Iran, nchi zote ambazo air Iran ilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.