....hahahaha....usijali MUNGU yupa pamoja nawe mchawi....kwenye neno MUNGU kasema usiache mwanamke mchawi aishi....sijui ni MUNGU kweli au uchawi utakuwa pamoja nawe !!
Kama huna uwezo wa kulipa mahari omba usaidiwe.mahari ni lazima na sio hiari.soma biblia kwa umakini na kwa msaada wa roho mtakatifu usisome kama gazeti la uhuru na mzalendo.ukikubali kuwa mkristo fanya kama maandiko yatakavyo .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.