Recent content by Mtinginya123

  1. M

    Clement mzize, sio level ya kucheza yanga.

    Hiyo leseni ya kununua usitishe watu na English ukadhani ndo usomi kuna watu wapo zambia ndaani hawaijui shule wanabonga English kuliko wewe una matege ya akili huwezi kumuona mzize kuwa ni striker mpaka aje aku strike huko mgongoni kwa nyuma
  2. M

    Clement mzize, sio level ya kucheza yanga.

    Kwanza hatuna mchezaji anaeitwa clement tuna Walid mzize huyu alikua mfungaji bora under 20 kocha Naby kamuona ana takent kubwa mwili unaruhusu huyu ni mshambuliaji wa taifa hapo baadae sasa we unaetoka mbwinde hujasoma ukocha unakosoa kwa kuwa unazo data ktk simu unadhani mpira ni rede hujui...
  3. M

    Mufti hujui nchi ina gharika la mapenzi ya jinsia moja na wizi wa fedha za umma?

    Kumbuka pia huko siku za nyuma kanisa katoli lilikumbwa na kashfa ya ushoga kulawiti watoto wadogo wanaokaa hapo kama mayatima na wale wasomao hapo wakaao boarding waliwalawiti kiasi mpaka kesi mahakama ikaamuru kanisa walipe fidia wakafilisiwa mambo haya yapo toka zamani sema kwa sasa mitandao...
  4. M

    Nimepewa onyo na wafanyabiashara wenzangu nisipopandisha bei watakatisha uhai wangu

    Nyie wote hiyo biashara ni haramu naxwengi wenu ni wskristo ila ulafi unawasumbua someni kitabu chenu biblia takatifu ioiyoandikwa kwa roho mtakatifu kama inavyodaiwa soma WALAWI 11:7 MPAKA 8. NAJISI KWENU MSIILE WALA MSIGUSE MIZOGA YAO 😂ATI MNACHINJA TOKA LINI NGURUE ANACHINJWA HUPIGWA RISASI...
  5. M

    Simba hebu Njooni mjibu haya Maswali

    We MBU MBU MBU kasema kweli Rage umejisahaulisha mlipigwa 3 na JWANENG GALAXY unabana pua ati mara ya kwanza tundu lishakuwa kubwa kutobolewa tatu siyo mara ya kwanza au labda ulikua hujaja mjini
  6. M

    Yanga kubandua nembo ya Haier kimkataba

    Nendeni Mahakamani mnatupigia kelele kwa bahasha za MO tukutane huko Yanga ni hot cake kwa Sasa kila kampuni inataka kufanya kazi na Yanga mbona MADUNDUKA fc mmevunja mkataba nao itakua Yanga mechi 6 bilion 1.5 ni ujinga kuacha pesa akiringa jamaa ataingia mazima
  7. M

    Hili suala la nembo kwa jezi mpya ya Yanga ipoje?

    Huna ujualo kumbuka ligi ya England mdhamini wa ligi alikua standard chartered bank logo yao ni blue na kijani lakini Liverpool waliweka logo Ile Ile ila rangi nyekundu na nyeusi mtu unatoa maoni kwa mkumbo na chuki bila kujua unacho sema mradi na wewe uonekane unajua kumbe unaungua na jua...
  8. M

    Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

    Upumbavu ni mawazo ya kuuchukia uislam na uarabu ila kiuhalisia hizo nchi zipo Africa wa kumlaumu ni huyo mkristo aliegawa mipaka kufanya hizo nchi ziwe Africa Mungu kaumba dunia moja Bila pasport wala mipaka kaumba rangi na kabila ili tujuane tu Hawa ni nani kikubwa kumcha Mungu tu huu upuuzi...
  9. M

    Kwanini hawa Matajiri Ndugu Wawili Gharib na GSM na Saalah na Silent Ocean yake Wameliteka mno Soko la Tanzania Kibiashara?

    Chembe chembe za chuki hasa kwa waislam angekua mkristo usingeleta hoja dhaifu Sasa hivi biashara huru mradi asivunje sheria za nchi yaani we unajua zaidi ya polis takukuru na usalama wa taifa.
Back
Top Bottom