Recent content by mtindo stephen kiba

  1. mtindo stephen kiba

    Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Write your reply...habari wakubwa. nami nahitaji na napenda sana kazi hii ya ufundi wa sim ila sjui nianzie wapi. kuna wazo lilinijia kwamba nitafute fundi mzoefu kisha nimwombe anifundishe kwa muda. sasa sjui wazo langu liko sawa au. nifanyaje. naombeni mnisaidie nifanyajeeee.
  2. mtindo stephen kiba

    Msaada:Nataka kufungua Duka la simu

    Write your reply...hamjitambui nyie MTU anatoa wazo nyie tens mnaanza kuchambana watu wengine bwwnaaaa
  3. mtindo stephen kiba

    Milion mbili yatosha kuwa mtaji wa kuku wa mayai?

    Write your reply...kwaiyo bora kufuga wa nyama au mayai
  4. mtindo stephen kiba

    Msaada wa mawazo juu ya biashara ya photo studio & photo printing services

    Write your reply...Habarini wakubwa. pia namm nahitaji kufanya biashara ya photo studio. sasa naombeni mnitajie vifaa vinanvyo takiwa pamoja na bei zake. ili nichek kama mtajiwangu utafika nifanye kama bado. nijipange.ahsante saanaa
Back
Top Bottom