Recent content by mtimule

  1. M

    Edwin Mtei asikitishwa na alaani kitendo cha Tundu Lissu kumtukana Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere

    hivi, ni vigezogani ambavyo vinatumika ili kumfanya mtu apelekwe kupimwa akili? tundu lisu hajatimiza vigezo hivyo? maana tunaweza kulaumu kumbe mwenzetu ana matatizo ya akili. nakumbuka kwenye miaka ya nyuma, alikuwepo rais mmoja wa marekani alishawahi kusema," mwalimu nyerere hakupaswa...
  2. M

    Raisi Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Awamu Tano 2015-2020 atakuwa nani?

    hahahahaha, yaani mnatabiriii,,au mnahisi. mnakaririkariri tu. kwa taarifa yenu hao wote kama katiba mpya itapita kama ilivyo, hakuna atakayekuwa na sifa ya kuwa raisi. rasimu inasema, mgombea urais atakayetokana na vyama vya siasa, ni lazima awe na sifa ya kuwa mbunge. na ili uwe na sifa ya...
  3. M

    Tanzania, Malawi zashindwa kufikia muafaka juu ya Mgogoro wa Mpaka katika Ziwa Nyasa!

    ndio sehemu nzuri kabisa ya kujaribia silaha zetu mpya.
  4. M

    Zitto: Tuboreshe Rasimu iliyopo - Adai hajafurahishwa na Hotuba ya Warioba na Rais Kikwete

    sio hofu ya rais peke yake. ni hofu yetu sote.. na wala sio malalamiko ya warioba ndani ya bunge,...ni malalamiko yetu sote. wajumbe mlioko dodoma, mkifanya mzaha mtajikuta mmevunja nchi.na mkivunja nchi, sisi tutawavunja nyie wote.
  5. M

    Bunge: Mtikila ruksa kwenda mahakamani

    zaidi ya kwenda mahakamani, hakuna analojua zaidi. kuna watu wapo kupinga tu. na yeye amegundua njia ya kumfanya asikike ki siasa. unafikiri mtikila bila mahakama nani atamjua kuwa ni mwanasiasa!
  6. M

    Mtei aonya fukuza fukuza CHADEMA - Aonya kuachana na Utamaduni huo mpya

    hahahaha, tumbu tumbu, hutumbua jibu.
  7. M

    Chritopher Ole Sendeka, alijikuta akilia hadharani akitetea upigaji kura ya wazi

    hakuna nchi duniani inayoitwa tanganyika. ila kuna ujinga wa wanasisa wanaotaka kumfufua mfu,,, tanganyika. aliyezikwa miaka hamsini iliyopita.
  8. M

    Chritopher Ole Sendeka, alijikuta akilia hadharani akitetea upigaji kura ya wazi

    hakuna nchi dunian inayoitwa tanganyika. ujinga wa kisiasa ndio uliowajaa sa wetu.
  9. M

    Wito kwa Bunge la Katiba: Kura iwe ya Siri kwasababu Hakuna aliyetumwa na Watu Kuwawakilisha!

    wananchi walio wengi walipendekeza serekali tatu. lakini haingii kabisa akilini kwamba waliopendekeza serekali tatu, ndio waliopendekeza muundo wa muungano. muundo wa muungano kwa namna nilivyouona kwenye rasimu ni muundo uliopendekewa na watu wa ndani ya serekari. na nilivyouona, ni dhahiri...
  10. M

    Wito kwa Bunge la Katiba: Kura iwe ya Siri kwasababu Hakuna aliyetumwa na Watu Kuwawakilisha!

    kwa hiyo kama hawajatumwa wamekwenda dodoma kutafuna tu hela ya umma? na kwanini unataka kura ya siri kama hujawatuma. kwa taarifa yako, tumewatuma kwenda kujadili rasimu ya katiba. na ndio maana watanzania wamerizika kuwalipa lakitatu kwa siku. kama ingekuwa hakuna ulazima wa kuijadilii...
  11. M

    CHADEMA tena: Mwenyekiti na Katibu wa Wilaya ya Magu wafukuzwa na uongozi wa Kanda!

    kama kweli chadema hawawataki mamluki, wamfukuze slaa. alitokea ccm, na atarudi ccm. subirini amalize kazi ya kuiua chadema , halafu ndo mtagundua.
  12. M

    Wito kwa wana CHADEMA wote!

    kama angekuwa ni jk ana nyumba marekani, uingereza, afrika kusini, na dubai, cjui mngesemaje!! maana chadema kwa kujadili watu wengine ndo sera zao. na sasa mnamjadili zito, badala ya kujadili mapato na matumizi ya chama chenu. mkija kushtuka mmetafunwaaaa
  13. M

    Kumbe Mshahara wa Rais Wa Bongo Million 32 Ni Peanuts Kulinganisha na Wengine Africa na Mambelez!

    tufanye rais asipokee mshahara wake kwa mwaka mzima, hiyo hela itaondoa umasikni wa watanzania? hamna mambo ya kufanya? au mlitaka apokee shilingi ngapi. kabwe atuambie katibu mkuu wake anapokea ngapi. na wala hana kazi yoyote anayowafanyia watanzania zaidi ya kulalamika na kulaumu?
  14. M

    TUGHE: Zitto Kabwe ashtakiwe

    mshangao mkubwa! kama jk kaajiriwa na hadhara, mshahara anapangiwa na nani. kawaida mwajiri ndo anayepanga mshahara wa mwajiriwa. sasa mnaposema wananchi ndo wamemwajiri jk, vipi wasimpangie kiwango cha mshahara wake?
  15. M

    TUGHE: Zitto Kabwe ashtakiwe

    hakuna aliyemwajiri jk. mnajipa maujiko ya bure tu. kama mngekuwa mmemwajiri nyie, mshahara wake mngekuwa mnaujua
Back
Top Bottom