Recent content by mtima nyongo

  1. mtima nyongo

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa siasa zimekufanya usahau ulipotoka? Acha kudharau watanzania

    Madaraka na akili ziko lumumba,usimlaumu sana.
  2. mtima nyongo

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

    Huyu nae tunamzika muda si mrefu.
  3. mtima nyongo

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Sirro ni poti na sisi watu wa kanda ya ziwa kinywaji chetu kikubwa ni gongo,ntapeleka baadae baada ya kumaliza hii shughuli
  4. mtima nyongo

    JamiiForums Tanzania Zanzibar bora ingeungana na Mombasa kwa kuwa tamaduni zinafanana sana

    Na usisahau na zile shughuli zao pendwa,(ushoga)
  5. mtima nyongo

    JamiiForums Tanzania Yadaiwa Makonda alimwaga Rushwa Kigamboni, mratibu wake alikuwa Jack Pemba

    Rushwa na CCM ni damu damu,
  6. mtima nyongo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi Bukoba Vijijini Wagubikwa na rushwa, Wanne Wadakwa na TAKUKURU, Kura za Lweikiza shakani

    Hapa hakuna taarifa na kesi imeisha hiyo
  7. mtima nyongo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya Mabadiliko ya teuzi, amteua Mhandisi Mwita kuwa RC Njombe

    Jembe au pimbi tu,anakula kiapo leo na kesho tena anateua mwingine hiyo akili au matope.
  8. mtima nyongo

    JamiiForums Tanzania Rapper aliyekuwa na mahusiano ya kimapenzi na Jada Pinket Smith huyu hapa

    Jada ni mzee sisi tumecheza nae na kumwita dada miaka ya 85 na kuendelea,hata kama huyo dogo akigonga sio shida ni hamu tu na dogo atatafuta mwenzie na maisha kuendelea
  9. mtima nyongo

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Imbewu : The Seed, huyu Zethu ni pisi kali

    Na baada ya hapo unaanza kutamani house girl
  10. mtima nyongo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Siasa za TAKUKURU zinalenga ‘kuokoteza’ makosa (fishing expedition), Uchunguzi wao hauna nia njema

    Takukuru nao wamekua vilaza wameenda CDM mpaka Sasa no majibu, Kwa hiyo tunataka majibu toka walikoenda kukagua na pia wakague na cuf na ccm.
  11. mtima nyongo

    JamiiForums Tanzania Mahakama nchini Brazil yamuamuru Rais Jair Bolsonaro kuvaa barakoa. Atakiwa kuheshimu sheria za nchi

    Hizi ndio mahakama zinazotakiwa, sio zile za wakata viuno na kuselebuka tu kwa mapambio
  12. mtima nyongo

    JamiiForums Tanzania Diaspora rudini nyumbani

    Naona una utani na le mutuz
Back
Top Bottom