Recent content by Mtiizedi

  1. Mtiizedi

    Vyombo vya habari duniani mwaka 3012

    Sijui ulikuwa unawaza nini wakati huo
  2. Mtiizedi

    Nimeoa ila najiona sina tofauti na Senior Bachela

    Uliambiwa lakini ukajifanya huambiliki eti unataka mwanamke mfanya kazi ili musaidiane maisha, hayo ndo Maisha yenyewe!! Mimi Nina Miaka 16 kwenye ndoa sijawahi kujutia. Nikirudi kazini nakuta kila kitu kiko BAM BAM na Mtoto anakuja kupokea lasket, Pole kama zote. Asikuambie MTU, ndoa tamu
  3. Mtiizedi

    Nimfanye nini huyu mwanamke?

    We mfanye hivyo hivyo tu unavoona wewe
  4. Mtiizedi

    Ushuhuda: Biashara ya mchele ni ngumu mno!

    Katika Maisha, suala la kukata tamaa ni dhambi kubwa Sana! Hata hivyo imelinganishwa na Mtu alisafiri hadi katikati ya msitu halafu akajichimbia shimo la kutosha na kujizika mzima mzima, haiko hivyo. Hakuna biashara/kazi nyepesi Duniani lazima upambane hadi tone la mwisho la damu. Utawaza kwenda...
  5. Mtiizedi

    Rafiki yangu amemfuma mke wake na katoto kenye miaka 16

    Kwa baada ya kumfumania ndo ikawa basi au?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  6. Mtiizedi

    Unafanyaje katika hili?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom