Recent content by Mti Dawa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Gianni Infantino; Wallace Karia na tabia za kisiasa za kiafrika zinaua maendeleo ya soka la Tanzania

    Kubeba mabango sio hoja katika mjadala huu, ubebaji wa mabango ni mapenzi ya mtu binafsi, huwezi mzuia mtu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga haikualikwa basi ni kweli TFF ina chuki/mgogoro dhidi ya Yanga

    Je, hiko ni kipimo sahihi katika kukuza soka kweli??
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Gianni Infantino; Wallace Karia na tabia za kisiasa za kiafrika zinaua maendeleo ya soka la Tanzania

    Huku Tanzania ikitoka kupokea ugeni mkubwa wa Rais wa Shirikisho la mpira duniani FIFA, Ndg. Gianni Infantino pamoja na Rais wa CAF Bw. Motsepe, ni Karia ndie anaenekana shujaa wa kuuleta ugeni huo kaa mara ya kwanza katika historia kufanya mkutano wake katika ardhi ya kihistoria Arusha. Kauli...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga haikualikwa basi ni kweli TFF ina chuki/mgogoro dhidi ya Yanga

    Miongoni mwa habari ambazo zimeshtua baadhi ya wadau wa soka nchini ni habari inayohusiana na kutoalikwa kwa klabu ya Yanga katika Mkutano Mkuu wa Kawaida wa 44 wa CAF uliofanyika jijini Arusha na kufikia kilele tarehe 10 Julai, 2022. Binafsi nimestaajabishwa si tu kwa kutoalikwa kwa klabu ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia analeta siasa na ubabe kwenye uongozi wa mpira nchini

    HIi leo Rais Wa TFF amesikika katika mkutano na viongozi wa CAF na FIFA huko Arusha akiita wanafamilia wa mpira watu wenye mambo ya "kijinga-jinga". Kauli hii ya kitemi kutoka kwa Rais wa mpira nchini, ni muendelezo wa ubabe na jeuri ambayo anaoionyesha mbele ya jamii ya wanamichezo nchini...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia anaiendesha TFF kihuni, adhabu za vifungo na faini za kibabe zinawaumiza wanamichezo. Karia hafai kwa ustawi wa soka letu

    Hivi karibuni sakata la kufungiwa kwa Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Sande Manara "Bugati" limeshika kasi katika tasnia ya michezo nchini, lakini mtiriko wa matukio ya kuichafua tasnia ya soka kutoka kwa Shirikisho la Soka Nchini (TFF) na Rais wake, Wallace Karia umeongezeka kwa kasi. Hebu...
Back
Top Bottom