Recent content by MTH

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa sera hizi ndiyo maana CHADEMA wameshindwa

    hizo ndio siasa za Tz. Hakuna sera zaidi ya porojo tu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Umoja wa vijana nje ya vyama vya siasa!

    Ni vizuri kuwa na Umoja wa Vijana lkn tatizo tulilokuwa nalo ni hao vijana kutoka ktk hizo taasisi ulizozitolea mfano. Wao wataweka maslahi ya vyama vyao mbele kuliko huo umoja. Uwezekano upo kwa wale vijana waliokuwa hawana vyama.
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuimarika zaidi; inajipanga kwa sasa!

    Mjenga leo umeleta uzi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali Yawakopa Walimu Wapya Pesa Zao Za Kujikimu

    wanalipana katika bunge lao la matusi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Kinana aitingisha Wilaya ya Nkasi, Rukwa.

    Wakulaumiwa Cdm, maana ccm walikuwa hawapumui lkn ss hv wamepata mlango wa kutokea.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Silinde unavuruga Chadema Mbozi magharibi [Momba]

    Sijaona ndani.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Sina tatizo na uwepo wa Serikali tatu Tanzania!

    Tusiwaamini wanasiasa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikiingia Ikulu, CCM ifutwe

    Afsa umesema kweli lkn si utawala bora huo. Wacha Sheria zichukue mkondo wake.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Kinacho endelea jimboni kalenga, ccm na mabasi chadema na watu

    Both....
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Kinacho endelea jimboni kalenga, ccm na mabasi chadema na watu

    Mie sipo Kalenga
  11. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Kinacho endelea jimboni kalenga, ccm na mabasi chadema na watu

    Siasa za Keyboard.
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Klabu bingwa ulaya: Chelsea Fc wataweza kuwafunga Galatasaray?

    Ninatabiri 1-1
  13. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani Feb 09, 2014: CCM yaibuka kidedea!

    Watu wale wale na siasa zile zile unategemea ushindi hapo?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Kitila alisema ktk waraka kuwa zinapokuja chaguzi matokeo huwa tofauti na tamaa za wanachama kabla ya uchaguzi. Tujiulize since 2010 CDM imeendelea vp zaidi ya kuchukuwa CCM rejects na kupigwa bao kila chaguzi zinapofanyika. Same strategies will not win elections.
Back
Top Bottom