Naitwa isaya mtewele kwa sasa napatikana ifakara najishughulisha nakupoint mchele kutoka hapa ifakara kwenda dar kwa mwenye uhitaji anaweza nicheki kwa namba 0719003163
Naitwa isaya mtewele elimu yangu ni kidato cha nne natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi kwa maana nimefanya kazi ya usimamizi kwenye duka la vifaa vya ujenzi miaka mitano hivyo kama kuna kampuni au shirika.
Binafsi linalojihusisha na uuzaji wa vifaa vya...
Naitwa isaya mtewele natafuta kazi yeyote nina elimu ya kidato cha nne lakini pia nimefanya kazi ya usimamizi kwenye duka la vifaa vya ujenzi kwa miaka 5 nina uzoefu pia kama kuna kampuni la vifaa vya ujenzi au linalojihusisha na ujenzi pia naweza kuwa balozi wao kwa kutangaza bidhaa zao...
Habari zenu wana JF naitwa isaya mtewele nimjasiriamali/mfanyabiashara mdogo natafuta kazi au tenda au hata day worker maana biashara yangu imeenda mama
0719003163
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.