Kwan umeambiwa serikali haiwez kufanya Hayo Mpka Hao DP world hiyo trion 1.3 serikali inayo kuweza kufanya Hayo yote na bandari ikaendeshwa na TPA Kwa kuweka watu weny weredi na kuwawajibisha wote wazembe , Sio lazima Kila kitu wafanye wageni ,serikali IPO na inaweza kuwekeza Pesa yoyote na...
Kwani maneno Yako ni mkataba 😃😃😃😃 dp world anapewa bandari kuiendesha , unajua Maana ya kuendesha au ujui , km ujui Rudi Shule alafu ukija uje na ugolo wako , kwann tupakue na kupakia kotena laki 7 ni Kwa sababu hatuna vifaa vya kisasa , km tumekopa na kujenga bandari Kwa tr 1.4tunashindwa...
Pesa ziliingia kampuni ya mabibo wine and spirits ya rugemalira na ndo walisinamia kesi mpka akatoka na jamaa anaendelea kula mpunga Hadi Leo anaishi kitajiri ,
Kwanza umeandika ugolo nawashangaa Watu mlivyo wagumu wa kupambanua mambo hv mpango na JPM wanahusika VP kweny vipande ambavyo vimesainiwa wakati wa Samia , suala la kusema Kuna kipengele kweny mkopo ambacho kinasema kampuni Fulani ipewe kandarasi kwann hiyo kampuni waipe Kwa Bei ya juu wakati...
Hilo ni jeshi kamili japokuwa linamilikiwa na mtu binafsi lkn ni jeshi kamili ambalo Lina Kila idara , Hawa ndo wapo Libya , Africa ya kati , Syria, na maeneo yote Ambayo mnaona urusi inatuma askari wanaoenda sio jeshi la urusi Bali ni hao Wagner group, hao Wana askari 80,000 na wanafanya KAZI...
Yaani uhame chama kikubwa uende chama kidogo uko atakujua Nan , lissu anajulikana Kwa sababu ya chadema , yaani chadema ni kubwa kuliko lissu hvyo akihama ndo kwisha , ila akihamia CCM uko anatoboa
Huo ni mredi wa nchi tatu Rwanda , Burundi na Tanzania maana uwez kuzalisha umeme nchi Moja wakati mto unamilikiwa na nchi tatu hvyo hayo ndo makubaliano na umeme hauna mahusiano yoyote na mambo ya bandari zenu ata mkipigana vita hakuna mweny uhalali wa kuzima huo umeme
Mradi ni WA nchi 3 Tanzania , Rwanda na Burundi , power house IPO Tanzania , switch yard IPO Rwanda kweny mlima , alafu umeme ndo unagawanywa Hapo kwenda tz , Burundi na Rwanda , mradi wa nchi tatu haiwezekani Kila kitu kiwe kwako , tz akizima mitambo kweny power house hawez kuupata umeme Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.