Recent content by Jumanne Mkota

  1. Jumanne Mkota

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Mkuu katiba imeeleza wazi pindi rais anapotoka madarakani nje ya uchaguzi mkuu, so mtu kuliona na hili la cdf ni spesho kiasi hicho basi ni ujinga wake wa kutopenda kusoma katiba na kujifunza mambo mbalimbali ya uraiq mara kwa mara
  2. Jumanne Mkota

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Duu mbona kama kuna Roma mwingine hapa?? Ngoja niende Xia kwanza nikaona rudi aliokolewa then nitateleport huku kwa hamza! Hope wale washamba washamba wa hongomeni hawapo hapa
  3. Jumanne Mkota

    Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

    Labda alikuwa Copenhagen huko akicheza mbina! Maana Copenhagen ina mahusiano ya kibalozi na gwambina wa kisukuma! Hapa Copenhagen wasukuma wapo wengi sana ni wacheza ngoma za kisukuma(mbina)
  4. Jumanne Mkota

    Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

    Duuuu afanalekiii yaani bange nibangue mamayee
  5. Jumanne Mkota

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Jumapili tayari na imeisha takribani dakika 30 sasa 😭😭😭😭🙏🙏
  6. Jumanne Mkota

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Bahati nzuri na mimi nipo hapa kekexil kuchukua vidonge vya kupambana na waasherati ! Ngoja tusubiri toka atoke huku nikuulize live kuhusu singanojr kututesa hivi🥺🥺🥺
  7. Jumanne Mkota

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Haya sasa ni manyanyaso aseee! Ila poa hata mimi najifunza kutunga tu!! Haiwezekani mwamba atufanyie hivi au kuna mjinga kaharibu nini🥺🥺
  8. Jumanne Mkota

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    singanojr uko wapi kaka twafwa huku ! Au umeenda zako hongomeni nini??
  9. Jumanne Mkota

    Korogwe: Bodaboda wadaiwa kuchoma basi la Saibaba baada ya mwenzao kugongwa

    Sina gari wala bodaboda lakini athari za bodaboda zimenigusa kwa asilimia nyingi mno
  10. Jumanne Mkota

    Korogwe: Bodaboda wadaiwa kuchoma basi la Saibaba baada ya mwenzao kugongwa

    Kisesa ipi labda hii inayoanzia Kanyama hadi kufikia isangijo kona ya kayenze au kisesa b ile inayotokea bugomba hadi kahangala? Hakuna sehemu yenye bodaboda wapuuzi kama hizi! Li mtu unakuta limetoka kayenye lina mshikaki wa abiria 4 kinapita mbele ya polisi hadi jiwe la mkapa!
  11. Jumanne Mkota

    Korogwe: Bodaboda wadaiwa kuchoma basi la Saibaba baada ya mwenzao kugongwa

    Nawalaani kwa nguvu zote waliohalalisha pikipiki kubeba abiria, nawalaani askari wa usalama barabarani kwa kutofuatilia na kuangalia mwenendo wa bodaboda hapa nchni, nawalaani wanasiasa wote hasa wa ccm kuwatumia bodaboda kisiasa. Majanga wanaosababisha bodaboda na hayaripotiwi Au kuupuuziwa na...
  12. Jumanne Mkota

    Nakusudia kutetea Kiti cha Ubunge Uchaguzi Mkuu Oct. 2025

    Saß mbona umeingia humu na id bandia ?? Wewe ni sasa😅😅
  13. Jumanne Mkota

    Azim Dewji: Lissu amuombe radhi Biteko; Matamshi wanayotoa wapinzani hayapaswi kuumiza watu wengine

    Asa mbona ni waarabu/sijui wahindi?? Umewahi kuona mzungu wa kijamii😂😂 tuanzie hapo tu
  14. Jumanne Mkota

    Azim Dewji: Lissu amuombe radhi Biteko; Matamshi wanayotoa wapinzani hayapaswi kuumiza watu wengine

    Azimu ni mnyaturuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  15. Jumanne Mkota

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Nao ndoa huu sasa mkuu!! Tusiuptezee bure!! Maana muda hausubiri mtu! Tuweke mzigo kwa idhini ya Maulana inshallah
Back
Top Bottom