Recent content by Mtemi Amos

  1. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la jana Mawio liliandika uongo wa Instagram (kuhusu DC Makonda), ombeni radhi now!

    Kwann yeye asimuombe radhi Kubenea kwa kumdhalilisha mbunge aliechaguliwa na wananchi zaidi elfu 80 wakati yeye kapata cheo kwa njia ya kujikomba kwa wakubwa?.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mawio huu ni udhalilishaji, Nape funga huo ujinga

    Siku zote ucje ukagombana na wana habari tena wanaoandika habari Za uchunguzi watakufukunyua mpaka na sehemu unayolala ikoje,Makonda ameyavuliwa maji nguo hana budi kuyaoga
  3. M

    JamiiForums Tanzania Magnum Hotel ya Henry Matata, aliyekuwa Meya wa Mwanza, kubomolewa!

    Mm nafurahi sana kubomolewa kwa sababu huyo Matata anajifanya mbabe sana ngoja aisome namba
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Chagonja, amehamishwa kwenda Jeshi la Zimamoto

    Acha mambo yako ww ndani ya jeshi la police kuna aina nyingi ya vikosi vikiwa ni pamoja na zimamoto na uokoaji,kutuliza ghasia(ffu),usalama barabarani(traffic) n.k
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtatiro anapoteza jimbo kirahisi Segerea, CHADEMA wanahusika

    Atatangazazwe ameshinda wakati madiwani wote wameenda Ukawa?.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini gazeti la Uhuru hawakuipa Uzito habari ya kifo cha Deo Filikunjombe?

    Makaidi alikuwa Kada wa Chadema?.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uwanja wa Bwawani Karatu: Mkutano wa kampeni CCM - Oktoba 5, 2015

    Mbona hizo kadi ulizosema ni nyingi kuliko watu waliohudhuria?,halaf kadi zenyewe ziko wapi?.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Upende usipende Zitto Waziri mkuu awamu ijayo

    Hivi kusimamisha wagombea wengi ndio kushinda?.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli amtakasa Chenge, amuita shujaa wa mabadiliko!

    Vp hajaongelea mahakama ya ufisadi?.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shinyanga mjini, wafuasi wa Dr. Slaa wahama CHADEMA

    Ninyi ccm subirieni duduwasha lifike shy ndio mtajua Lowassa ni moto mwingine kwenye nchi hii
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa ACT - Wazalendo kuhusu Mgombea Urais, Prof Anna Mghwira kuwa mgombea

    Acha uongo ww Act Siyo chama cha Kwanza kuweka mgombea urais mwanamke mwaka 2005 APPT-MAENDELEO kiliweka mgombea mwanamke.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ubunge Viti Maalum kupitia UVCCM, Mbona Walioshinda ni Watoto wa Viongozi Pekee?

    5.MARIA KANGOLE Siyo mtoto wa aliekuwa m/kiti wa ccm mkoa wa Arusha,aliekuwa m/kiti wa ccm mkoa wa Arusha na ameachia ngazi anaitwa Onesmo ole Nangole,7.MZINDAKAYA hajawahi kuwa mkuu wa wilaya ya BUSEGA bali ni mtoto wake PAUL MZINDAKAYA ambaye mpaka ni mkuu wa hiyo. Lakn hujakosea hao karibu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa ni Lowassa

    Kanda ziwa ipi ulipo ww tofauti na sisi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zitto, Dk. Slaa na Prof. Lipumba hawawezi kumsahau Mbowe!

    Safi sana kamanda
Back
Top Bottom