Recent content by mtazamo4512

  1. M

    Serikali: Zuio la wanafunzi wanaopata mimba kurejea shuleni halizihusu shule binafsi

    Daah! Mtoto wa maskini anazidi kukandamizwa. Inamana mwanafunzi wa kayumba akishapata ujauzito haki yake ya kupata elimu kama mtoto inapotea??
  2. M

    RC Mtwara: Sheria ya kumfunga mwanaume miaka 30 kwa kumpa mimba mwanafunzi ilitungwa kimihemuko, haimuwajibishi mtoto wa kike

    Swala la umri wa kuwa mtu mzima linapaswa kupangwa kwa kutegemea jamii na jamii. Tatizo letu sisi ni kwamba huwa tunarithi mambo kutoka kwa wazungu bila kutizama mazingira yetu. FACTS: 1. 21 years ndo legal age ya kunywa pombe Marekani, ila 18 ndo kwa ajili ya kuoa, kuajiriwa jeshini au sehemu...
  3. M

    Kashfa nzito Jeshi la Polisi

    SERIKALI IMSAIDIE HUYU MTU......HAO GSM NI WANYONYAJI KICHIZ.
  4. M

    Nahitaji fundi anayeweza kufunga injini ya toyota kwenye Vogue

    Wabongo kwa uoga tumezidi. Hivi kama mtu kitu hukijui au hukiwezi kwa nini usikae kimya? Mleta mada achana na baadhi ya wapuuzi humu, wasikutie uoga. Fanya utafiti wao vizuri, tafuta mtu anaeweza kazi alafu fanya ulichokusudia.
  5. M

    Tetesi: Kenya na Uganda zinapenyeza majasusi kupitia shule za binafsi Tanzania

    Siwezi kuishuku hoja yako, huenda una sababu za msingi na unajua kuwatambua mashushushu. Wanaohusika(TISS) wachunguze zaidi. But kwa upande wa pili, waTanzania tusije tukawa xenophobic kama South Africa...yaani tusianze kuwachukia na kuwahofu wageni wote wanaokuja nchini.
  6. M

    Kitendo alichofanyiwa Amber Rutty si kizuri. Watetezi wa Haki za Binadamu mko wapi?

    Hakuna mbadala wa haki za binadamu. Ni mhalifu kama wahalifu wengine, sio sawa kuteswa au kunyanyaswa.
  7. M

    Tutafakari: Kama sisi ni nchi huru kwanini Serikali imkane Makonda? Haki zipi ambazo ziko nje ya katiba yetu? Je, serikali imeridhia ushoga?

    Hatuja sign mikataba ya ushoga....Hakuna mkataba wowote wa ushoga uliopitishwa kimataifa.Tumesign mikataba ya haki za binadamu ambapo moja ya kanuni zake ni kwamba "A person is innocent until proven guilty." Kushtumiana kwa message kwa kosa lolote bila ushahidi alafu watu wanaenda kukamatwa hio...
  8. M

    Dudu Baya ashtakiwe kwa kosa la udhalilishaji

    Yani ukiachana na wanaojitangaza mitandaoni na mitaani,..hivi ushoga unauthibitisha vipi kwa viwango vya ushahidi unaotakiwa mahakani. Utamshtaki mtu kisa fulani kamhisi na kumsemea kwa Makonda. Hivi na huo upimaji unafanyikaje? Inamaana kila aliehisiwa atapelekwa kupimwa....maana kuna watu...
  9. M

    Hiyo pesa ya kwenda kuwalisha mashoga jela ingelisha watoto yatima

    Yani ukiachana na wanaojitangaza mitandaoni na mitaani,..hivi ushoga unauthibitisha vipi kwa viwango vya ushahidi unaotakiwa mahakani. Utamshtaki mtu kisa fulani kamhisi na kumsemea kwa Makonda. Hivi na huo upimaji unafanyikaje? Inamaana kila aliehisiwa atapelekwa kupimwa....maana kuna watu...
  10. M

    Dudu Baya ashtakiwe kwa kosa la udhalilishaji

    Nauchukia sana ushoga lakini nachukia zaidi namna tunavyoweza kuyapa kipaumbele haya maswala tukaacha ya msingi. Watu wanafanya vitu vingi sana vya hovyo wanapo kuwa faraghani. Kwanini tuyajadili haya?? Shida ni pale yanapotoka faragha na kuwa wazi, hapo ndo serikali inapaswa kuingilia kati...
  11. M

    Amber Ruty na James Delicious wafikishwa Mahakama ya Kisutu leo

    Naamini huyu James delicious ana matatizo ya kisaikologia au hormones. Huenda kazaliwa na chembechembe nyingi za kike, maana kuna watoto wanazaliwa hata na jinsia mbili. Kumfunga haisaidii, kikubwa ni kuzuia watu hawa kujitangaza kwenye mitandao, pamoja na kuwa tafutia tiba sahihi.
Back
Top Bottom