Recent content by mtata mtatuzi

  1. M

    Najiuliza kwanini nilisoma. Miaka 4 sasa sijawahi kupata ajira

    Mkuu, miaka minne Bila kazi unadhan zoom na mazaga yote hatuzijui?
  2. M

    Najiuliza kwanini nilisoma. Miaka 4 sasa sijawahi kupata ajira

    Dah pole ndugu. Na me ni mhanga mwenzio. Navuka mwaka wa pili Bila ajira. Sasa nimekata tamaa hata kuapply. Full utata ila nimejaribu kuutatua sasa nafundisha na angalau nmekua mwalimu tegemeo kwenye shule moja ya msingi (eng med) japo maslahi ni madogo nimetokea kuipenda kazi ya...
  3. M

    Laptop for sell morogoro

    hizo lakilaki zenu zitunzeni wakuu, labda zitazaa**kidding** thanks for the counter offer lakini ni 200,000 mzigo unatoka.
  4. M

    Laptop for sell morogoro

    Dell latitude d620. processor: 1.83GHz RAM: 1.00gb hard disc: 60gb ... bei: tsh.200,000/
  5. M

    Procurement job

    nimesoma procurement...sasa nafanya kazi kama mwalimu shule moja ya msingi English medium... nakushauri usingoje hadi mambo yakiwa magumu, afanye kazi yoyote tu. Wagavi tunaofundisha sasa tupo wengi na tuna mpango wa kuchukua PGDE. HATUJAKATA TAMAA ILA NDO HVO MFUMO UMETUKATAA. HUKU...
  6. M

    Kwa Kiswahili anaitwaje?

    nionesheni mbuzi mawe...
  7. M

    Ninaomba msaada wa mawazo yenu

    mpeleke akasome IT yake VETA. na umwambie kabisa akiboronga anaanza upya hapohapo veta welding.
  8. M

    Anayejua kuhusu post graduate diploma

    good replies wakuu.. kuna uzi mwingine mtu kauliza kuhusu gharama za postgraduate... enewei, me mwenyewe I kind of want to change my profession niwe na tudigrii twingitwingi.. haya anaejua twendeeee
  9. M

    Business partner invited,no capital required but you get paid

    salaam mkuu... samahani lakini, unahitaji mtu wa kumconsign kama wakala flani wako hvi au unahtaji biznes patna? thought there will be sharing of profit and loss kwa pasent flani... BTW, am ready and I've been looking for such opportunities...
  10. M

    Msaada,amepotea

    upphhh,nlificha details kwa 7bu maalum wandugu,ningefunguka zaid pm. ila am the boss,na nimefanya nnalotakiwa kufanya and evrthng z ok nw. duh kuna watu mpo fasta kama mmezamia(tyta,kisima,babaV)!!
  11. M

    Msaada,amepotea

    serious anko.natafuta mtu aliye matombo kwanza,kama unamjua nisaidie tafadhali.let me spare other details kwa ajili hyo kwanza.
  12. M

    Msaada,amepotea

    Msichana amepotea,tetesi ni yupo matombo_morogoro. Tafadhali nahtaj kuwasiliana na mtu aliye matombo anisaidie kitu. Pm tafadhali
Back
Top Bottom