Recent content by Mtarbann

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uzito wa Zitto, Wepesi wa Hoja kwa Suala zito

    na wewe kausome kwa umakin uone wapi zito anajitaja/anatajwa kuhuska kuuandika
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    kufa kwake ndo kufa kwa chadema but mjinga km ww huwez kuliona
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    unachoambiwa ni kweli dr. slaa atakufa bila kuiona ikulu. labda mjnga km wewe endelea kuamin kuwa ataongoza
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watoto 18 waliofungiwa Moshi wadai kubebeshwa matofali mgongoni

    kama siyo imani ya din za kiislamu basi haya machafuko na vita vinavyoshudiwa maeneo mbalimbali ya dunia visingekuwepo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Best Tanzanian university rank 2015

    oyeeeeee
  6. M

    JamiiForums Tanzania Best Tanzanian university rank 2015

    acha kuishi kwa historia
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chuo cha St. Joseph University Arusha campus Kufungwa Kesho

    du! wengine cha mhim ni kuhakikisha haukos mitihan bila 7bu na siyo mahudhurio ya vipind. hapo wangenidisco. karib udom
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Zitto kuondoka CHADEMA na wabunge 3 wagundulika!

    una kichaa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Zitto kuondoka CHADEMA na wabunge 3 wagundulika!

    amesalit kvip mkuu, toa ushahid usifuate uzush wa wakuu wa chama wanaoogop atawanyanganya nyadhfa zao
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Zitto kuondoka CHADEMA na wabunge 3 wagundulika!

    zito siyo mwanasiasa kigeugeu kama mnavyomfikiria, yule haondoki chadema nyie mtaishia kubwekabweka tu humu jf kuwa mmepata taarifa lkn hakuna ktakachoendelea. kigoma huwa hatutikiswi na upepo na asil yetu ni wabish ulza uambiwe. hakna wa kumtoa zzk
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nape: CHADEMA wajiandae kuingia msituni

    amesahau bana coz ccm ndo ilikuwa na mpango wa kuingia msituni ikiwa chini ya kapten komba bahat mbaya au nzur amefariki kabla mpango wao haujatimia
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wingi wa wanachama mkoani Dodoma wamfurahisha Katibu Mkuu wa CCM, Kinana

    leta ujinga wako kwanza, ndo nitautoa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wingi wa wanachama mkoani Dodoma wamfurahisha Katibu Mkuu wa CCM, Kinana

    kumbe n dodoma wavivu wa kaz na kufikiri. ukiwapa pombe basi umepita, mkoa ambao % kubwa hawajaxoma na wanaamin bado kna chama ki1 (ccm) nikiwa wilaya ya kongwa mwka jana mwe'kit wa ccm wilaya aljitamblisha yeye n mwenyekt wa chama kwenye graduation
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vita ya Urais sasa ni Live bila chenga: Ni kati ya Lowassa, Membe na Wassira

    usitegemee wasira atakuja kuwa rais wa nchi ya TANZANIA. unajifariji, keep in mind
Back
Top Bottom