Recent content by Mtanzania2017

  1. Mtanzania2017

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumkumbatia Makonda , TVE yaanza kupoteza watazamaji

    TvE ndo midudu gani mi hata sitaki kuwasikia
  2. Mtanzania2017

    JamiiForums Tanzania Sioni faida ya kuwa na pesa bila mtoto

    Kabla hujalalamika tambua kuwa kila jambo linawakati wake hata biblia imeandika kila jambo na wakati wake kunawakati wakupanda na kuvuna,huwezi kupanda na ukavuna siku hiyo hiyo. Kabla ya yote Muombe Mungu akuongoze kisha ukapime afya yako kisha rudi tena kwenye maombi jiweke karibu sana na...
  3. Mtanzania2017

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Joti: Mke wa Joti hana raha

    Umekaa kiudaku udaku tu,alikwambia hana raha macho yako yana kipimio cha raha na karaha? Mbona husemi Joti hana raha?
  4. Mtanzania2017

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania haimo kwenye orodha ya majeshi ya Polisi 10 Duniani yanayonuka rushwa

    Polisi zooote hizo huwa na matatizo kama Rushwa,ugaidi nk
  5. Mtanzania2017

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuanzisha Radio station

    FM
  6. Mtanzania2017

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuanzisha Radio station

    Asante mkuu
  7. Mtanzania2017

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuanzisha Radio station

    Asante mkuu
  8. Mtanzania2017

    JamiiForums Tanzania GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

    Huna lolote,hapo juu tu ulivyoanza unaonekana unachuki na mnafki. Kama kampuni iko Tz lazima ichukue models wa bongo? Mbona unatumia bidhaa za nje,Je wewe unadharau bidhaa za ndani?
  9. Mtanzania2017

    JamiiForums Tanzania Inawezekana account ya Mange Instagram imedukuliwa au Ndio mwendelezo wa upande wake wa pili?

    Hizo pombe zake tu maana akiamkaga kushoto hali huwa siyo nzuri she will be back
  10. Mtanzania2017

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuanzisha Radio station

    Mambo vipi wadau naomba kuuliza namna ya kuanzisha Radio Station ni vitu gani natakiwa kuzingatia,taratibu za kufuata ni zipi na equipment zipi ambazo zinahitajika ilikuanzisha Radio Station ya kawaida tu pia Kwa makisio ya kawaida inaweza gharimu shingapi?
Back
Top Bottom