Nadhani alikuwa CCM enzi ya chama kimoja. Baada ya hapo alistaafu baada ya kutoridhishwa na yalioendelea. Amezikwa bila mizinga Wala nguo yoyote ya kijani
Aliyekuwa Kanali mstaafu wa JWTZ Mzee wetu Ayoub Mwinyimvua Simba amefariki siku ya Ijumaa tarehe 9/5/2025 na kuzikwa na tarehe 10/5/2025 katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.
Kanali Simba mbali na kufanya ya kulibadili kesho kuwa la wananchi, alifanya kazi kama msaidizi wa karibu wa...
.......Sidhani kama kazi ya uongozi wa bodi inahitaji wanazuoni wenye mashahada makubwa kiasi hiki....kwa mawazo yangu ninadhani pamoja na uanazuoni bado inahitaji watu wenye uzoefu mkubwa katika uongozi wa uendeshaji.....kazi ya bodi ni kuweka/kuhakikisha sera zinafanya kazi.. na si kufanya...
.....Ninawaza sana.....sijui kazi ya mbunge ni nini.....sidhani kama ukiwa na uwezo wa kuongea/kuimba mbele ya watu...uwe maarufu......basi unafaa mbunge. Ninadhani kuna ya zaidi ya hayo.......mengi tu.....yatakayotufanya tujadili mustakabali wa taifa letu.....kwa hoja.....na si kwa kutumia...
.... Ngoja nijaribu bahati yangu...... nitaweka rangi nyeusi kwenye nywele zangu kuondoa mvi ili nionekane kijana..... nitabadili jina mahakamani .... nitaitwa John Mohamed kama mtabiri anavyoelekeza...... nitamuoa Faizafoxy kwa makubaliano ya kusaka urais tu....... kamwe sitafanya kampeni...
.....Mheshimiwa mkachu.....nadhani si busara kumhukumu mtu kutokana na ukabila .....ujirani... au aina yoyote ya mahusiano ya kiajali......huku ni kutowatendea wahusika.... na kutojitendea haki wenyewe..... ni ubaguzi.....ni mawazo yangu tu
........kwa mawazo yangu...huu utamaduni wa kujitolea kupita kiasi kutoka kwenye vyazo binafsi vya fedha si wa kuuenzi......nawaza mbunge/diwani anapojitolea kusaidia milioni 15...huku tukijua vipato vyao......hatuoni huu ni muendelezo wa kuchochea vitendo vya kudai/kupokea rushwa kupitia nafasi...
.......kunapokuwa na migongano ndani ya ndoa......mume na mke wenye nia ya dhati ya kulinda ndoa yao.....hujifungia chumbani na kujaribu kurekebisha tofauti zao......ndiyo busara.....na si kutangaza tofauti zao hadharani........
Mheshimiwa mkachu..... Samahani sana kama unawajua kina Seth... je unajua chanzo cha Ruaha Concrete Contractors kufa/kufilisiwa/kufungwa??... Maana sisi tulizisikia tetesi tu.....wakati ule....kwa vile unawajua... natumai hata zile tetesi unazijua..... utujuze tafadhali....ni ombi tu
Mheshiwa Mphamvu,
Bado naona kama tunachanganya mambo.....nadhani kwa mawazo yangu... ni vigumu sana kutoa tiba kama haujui hasa tatizo ni nini.....kutoa dawa ni sehemu ya mwisho kabisa ya matibabu baada ya kujua ugonjwa/tatizo lenyewe. Kwa mfano kuumwa kwa tumbo hakusababishwi na jambo moja...
Mheshimiwa Mphamvu,
Natanguliza heshima,
Mimi binafsi napata shida kidogo kuelewa hasa tunapozungumzia madawa ya kienyeji/asili na madawa ya viwanda.......
Kwa uelewa wangu neno dawa maana yake ni kemikali ya aina fulani kwa matumizi/matibabu ya tatizo fulani...... dawa ya kifua....dawa ya...
.....Ninawaza.....matatizo ya foleni katika mji wa Dar es Salaam hayawezi kutatuliwa kwa kuboreshwa miundo mbinu ya barabara kama wengi wetu tunavyofikiri.....Hatufanyi utafiti wa kutosha...hatuna takwimu za kuaminika.... Tunajua kuna magari mangapi katika jiji letu??... Tunajua ongezeko la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.