Recent content by Mtanzania Mwanahalis

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Nguza Viking 'Babu Seya' na wanae wafika Ikulu kutoa shukurani kwa Rais Magufuli

    Ikulu ni mahala patakatifu... Sio pango la wabakaji
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta amemtoa Rais Magufuli knock out! Ushauri wa bure kwa Rais Magufuli

    Huyu c anakuwaga na frustration zake.... Kwahyi hii nayo ni out of frustration...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CHADEMA na wanachama 38 wafungwa kamba za shingo na Polisi baada ya pingu kukosekana

    Mungu alivyo wa ajabu hizo polisi zinaweza dedi... Waliopigwa kamba wakapona...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo mpaka naingia kaburini sitamuamini tena mwanamke

    Ulizaliwa au ulinyewa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Mwenyekiti mpya wa CCM kuhusu rushwa ni upi?

    Tujadili vipi wakati zimeshaibwa kazi iliyobaki ni ya polisi... Hujasikia rais hataki raia kwenye shuguli za polisi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Mwenyekiti mpya wa CCM kuhusu rushwa ni upi?

    Hotuba zake kama essay za form two.... Ndo maana zinajichanganya... Labda hajui kuwa hotuba zake zinaingia kwenye records...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Kuna mtu alikuwa anahamisha kati ya Tsh milioni 7-8 kila dakika. Yuko mikono salama...

    Aibu sana... Maswali juu ya kauli hii ni ngumu kuyapatia majibu.....
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Tulia Ackson kupokewa Dar kwa shamrashamra, ni baada ya kulisimamia bunge vyema

    ..... Bunge halikiwa live ila watu waligundua kaliendesha vizuri..... Au sababu upinzani hawamtaki.... shame
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa amewadondosha waliombeba, yeye Atakuwa Salama?

    kati ya wato hoja ambao CCM inawaamini na huyu nae yumo.... shame.. umeongea pumba tupu hamna cha maan chochote ulichosema...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Nguvu ya Umma yaweka heshima dhidi ya wala Rushwa Mwanza

    pale ambapo mhindi ansababisha weusi kwa weusi tukapigana huku wao wakikaa magorofani wakiangalia.... Mungu tusaidie sana ila Vijana wa MWanza wanaendelea kuwaweka sawa polisi maana kile kilichoazimiwa cha kuzishusha zile geti zao walizojenga kuziba njia kimetimia.....
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni upuuzi mtupu kusema ni zamu ya vijana kutoa Rais - Malecela

    mwenye nchi nae anamilikiwa tu
  12. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Nkwabi Ng'wanakilala afariki dunia

    Aliyekuwa mkurugenzi wa shirika la Habari Tanzania SHIHATA na mhadhiri wa chuo kikuu cha mtakatifu Agustino, Nkwabi Ng'wanakilala amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza alipokuwa anaugulia matatizo ya figo yaliokuwa yanamsumbua kwa takribani wiki tatu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PICHA za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii!

    hawa ndo wanadhalilisha nchi yetu... limekubalije kupigwa pcha? tatizo ulevi!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hiki hapa ndicho alichokiandika Wenje kuhusu msiba wa mama yake Zitto Kabwe

    acheni ujinga nyie watu msio na huruma na hi nch wenje hakuwepo msibani wala kiongozi yeyote wa juu wa chadema. msiba sio lazima kuhudhuria na kamama hujahudhuria ni bora ujitetee kwa staili nyingine na sio kutugeuza wapumbavu. kama chadema mliguswa na msiba mbna mnyika, lissu na silinde...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Yaliyojiri Kigoma katika mazishi ya Shida Salum (Mama yake Zitto)

    hao chadema mbna wameleta chuki za kike!.. yaani hata kuzungumza bungeni kwamba wanampa pole hakuna!
Back
Top Bottom