Recent content by Mtanzania Mnyonge22

  1. Mtanzania Mnyonge22

    Dalili kuu za kutokupuuzia mtu anayekaribia kufa baada ya muda mfupi

    Mimi huwa naumwa sana na kichwa kwa siku kadhaa au hata wiki Ndugu au Rafiki yangu akitaka kufariki😢😢
  2. Mtanzania Mnyonge22

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Leo Nimepita KARIAKOO MTAA WA MKUNGUNI… Nimethaminisha Migahawa yote ya mtaa ule na kukumbuka Details kwamba Ally Mpemba ana Range Rover, na ana pesa za kutosha hivyo hawezi kuwa na Mgahawa Uchwara… napata hisia Mgahawa wa Ally Mpemba ni ule uliopo ndani ya lile Jengo La AL-Uruba🤔
  3. Mtanzania Mnyonge22

    Nahitaji Connection ya Madini ya Sapphire

    Blue Sapphire Size 1 gram up Red Garnet hawahitaji.
  4. Mtanzania Mnyonge22

    Nahitaji Connection ya Madini ya Sapphire

    Ni kweli Mkuu. Natumai nitapata mtu mwema na mwaminifu
  5. Mtanzania Mnyonge22

    Nahitaji Connection ya Madini ya Sapphire

    Habari Wakuu, Naomba kujua nitapata wapi Madini Haya kwajili ya Ununuzi. spinal sapphire aquamarine tourmaline Tafadhali Watanzania wenzangu tusaidiane tusifanyiane choyo.
  6. Mtanzania Mnyonge22

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Na mishkaki yao inavutia balaa… ila sijui Mmiliki wa Mgahawa ni kabila gn
  7. Mtanzania Mnyonge22

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Huo Mgahawa nahisi kama ni ule ulokua unatazamana na Mabasi ya Tegeta zaman🤔
  8. Mtanzania Mnyonge22

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Mimi pia nahisi Rehema atamvua hio Pete japo usingizini🤣
  9. Mtanzania Mnyonge22

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Matokeo ya form 4 ndio alipata division 2!! UMUGHAKA aliendelea Form 5 & 6 huko mkoani Tanga ila akafeli kwajil ya huyo demu wa kitanga ndo Babaake akamfukuza nyumbani na hapo ndipo inakuja ile story “Nilivonusurika kifo baada ya kutimuliwa nyumbani”
  10. Mtanzania Mnyonge22

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Amemaanisha Mizagamuano🤣🤣🤣
  11. Mtanzania Mnyonge22

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Maskini Rehema😢 roho inaniuma mno. Ndiomana tunaambiwa tumshirikishe Mungu atupe wenza walio wema
Back
Top Bottom