Recent content by mtanijr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

    Spencer namfaha amesoma shule ya msingi kipampa na ujiji secondary yy na mdogo wangu. Ni kijana anayependa mabadiliko na maendeleo ndio maana taarifa zake anazisoma kwa bashasha na mahaba. Hata hvo taarifa zake ziko balanced. Hongera Lameck
  2. M

    JamiiForums Tanzania Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

    Hopeful he will....
  3. M

    JamiiForums Tanzania Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

    Kwahali navoiona karibu atatoroka tu.... Sasa hv namtumia videos za mikutano ya El kwenye watsap. Taratibu ataelewa tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

    Nina brother angu ni chichiem kindakindaki mara nyingi huwa haangalii Taarifa ya habar. Leo kaniambia kapita mahali kakuta watu wanaangalia taarifa ya habar anasema ameshangazwa na ule umati wa musoma. Wallah kwa mara ya kwanza namsikia bro akisema kuwa Edo anaweza kuchukua nchi kama hali ndo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa kama claudio Makelele enzi zile akiwa pale Chelsea

    Anza na Makelele alipokuwa R. Madrid,baada ya kuondoka madrid wakaanza kufungwa na timu ndogo kama Chini ya Mti FC.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wandugu tushauriane kwenye hili la NEC (Urais)

    EL sio mjinga wa kutokujua haya. Magamba walipoleta hackers wa kichina naye ameingiza Computer analyst and contractors zaid ya 45 kwa kazi hiyo. Wizi wa kura kwa njia ya mtandao co jambo geni tena baada ya yaliyotokea kwenye uchaguz uliopita nchini kenya. Uhuru alishinda kwa njia hii. Cha msingi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Kwenye mapambano lazima kuna majeruhi na vifo. He may either be one of them. Never back down.
Back
Top Bottom